Makonda awachana wanaofuatilia maisha yake

Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda amewatupia dongo wale wote wanaoshinda mtandaoni wakifuatilia kauli na maisha yake kwa ujumla..

Badala ya kulialia hovyo waende kufanya kazi.View attachment 1113747
Bashite unajishtukia tu, ila kitu kimoja ambacho Ridhiwani kikwete kinachomuua na kinaendelea kumuumiza ni zile dk za lala salamaa alizomshawishi mshua kumpa Bashite ukuu wa wilaya ya kinondoni akitegemea atakuwa rafiki yake wa kudumu, sasa yote haya yote yanatokea Ridhiwani kikwete lawama zote zibebe bila wewe huyo dogo angekuwa pale lumumba anasafisha vyoo vya kina Nape.
 
Acha hizo ndoto wewe
 
Ni kweli kabisa...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
"Kuna jimbo la ubungo mtu kalipania"
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
#AnaitwaRoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…