Mbona kigezo chako kimepya sana.Mtaka hawezi kumfikia makonda, mtu anaogoza mjombe hawezi kumfananisha na anae ongoza jiji la arusha, ni ngumu mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kigezo chako kimepya sana.Mtaka hawezi kumfikia makonda, mtu anaogoza mjombe hawezi kumfananisha na anae ongoza jiji la arusha, ni ngumu mno
Bashing ndio mambo anayoweza jamaa ni kama cartoonist.Ushahidi mkuu. Ila Makonda ni mkuu wa mkoa bora. Ile land rover festival ilikuwa bab kubwa.
OK Mr. Gabeji ,you resemble your name100%.Anaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,
Wivu wa kike! /Bashing ndio mambo anayoweza jamaa ni kama cartoonist.
Makonda ndiye dumbest RC hapa Tanzania
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumchagua makonda hata ndani ya ccm yenyewe .Anaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,
Anamjua Gabacholi vizuri lakini? Maelezo ya hivyo yametolewa sana Nchi hii ila hakuna results .Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
==
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amekutana na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Wey, kujadili fursa mbalimbali kwa vijana wa Arusha. Miongoni mwa mambo waliyoafikiana ni kongamano kubwa la Artificial Intelligence (AI) litakalofanyika Mei 2025, ambapo mtaalamu kutoka Marekani atatoa elimu kwa vijana wa mkoa huo.
Mazungumzo yao pia yamejumuisha ushirikiano wa Arusha na chuo cha Zanzibar kinachofadhiliwa na Serikali ya India ili kuimarisha matumizi ya AI katika kazi mbalimbali. Aidha, wamekubaliana kuanzisha kilimo cha mitishamba kwa ajili ya dawa za asili, ufadhili wa masomo kwa vijana 1,000 nchini India, na mafunzo ya upishi kwa wapishi 50 wa Kitanzania kujifunza mapishi ya Kihindi ili kuvutia watalii.
Fursa nyingine muhimu ni kuimarisha kilimo cha maembe kwa ajili ya soko la India, nchi ambayo ina mahitaji makubwa ya unga wa maembe. Hatua hizi zitawanufaisha vijana wa Arusha kwa kuwapatia maarifa, ajira, na fursa za biashara zinazotokana na ushirikiano huu wa kimataifa.
Mkuu bora ungejenga hoja tu...yawezekana mimi ndiye Makonda mwenyewe uwezi juwa; Jenga hoja acha kusema sina cheo au mimi ni hater kwasababu hunifahamu.Wewe ni hater huwezi kuona mazuri yake! Kwa hiyo wewe kwa sababu ya ujinga wako unaongeaga na watu ili kuokoteza kasoro zao?
Kama ametenda mema kwa wachache basi waache wamsifie!
Nimekwambia itajie kiongozi ambaye wewe unamuona ni mwema kuliko Makonda tumjue!
Wewe mwenyewe hapo una mabwerebwenye kibao au kwa vile huna cheo!
Hater ni hater tu!
Bora mmpe urais kabisa ili aipaishe nchi iwe kama DubaiAnaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,
Amekuambia watapata ufadhili huelewi kitu ganiKichwa cha habari ni tofauti na porojo za ndani. Katafutia vijana 1,000 kusomea fani gani, na nani atawalipia hayo masomo, kama tu humu nchini serekali inashindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa chuo?
Ameinnovate kitu gani kusifia wanawake wa Njombe kuwa wanamiliki milioni 500 lakini utawakuta wanakuna nazi sokoni? Amebuni nini? Kumiliki 500M benki bado unakuna nazi sokoni ni ujinga na ushamba, waelimishwe wawekeze hela.Mkuu wa mkoa bora ni Antony Mtaka that man is innovative,passionate,visionary hawa wanaokaa mjini na kuomba hela kwa matajiri na kuwapa watu pipi hakuna maana
Ogopa tapeli boss.Amekuambia watapata ufadhili huelewi kitu gani
Pole kijana, hatoweza kuelewa... endelea kushabikia huyo bashitemakamera wenuHuyo Mtaka ndo unasema anauwezo kuliko Makonda!
How? Kujieleza kwa utulivu kivipi?
Lipi amefanya bora zaidi ya Makonda?.
Kwanza kama hujui huyo Mtaka ni moja ya viongozi wasio fikika kwa urahisi.
Ashakuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma mbona aliondolewa akapelekwa mkoa mdogo wa Njombe! Ulishajiuliza kwa nini hakupelekwa Mwanza ,Dar au Arusha mikoa Mikubwa kwa nchi hii?
Mtaka hana lolote ni kada tu wa kawaida!
Ajitafutie yeye kwanza nafasi ya kusoma NECTA kwa jina lake halisi la Daud Albert Bashite ili aliache jina la forgery la Paul Cristian Makonda.Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
==
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amekutana na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Bishwadip Wey, kujadili fursa mbalimbali kwa vijana wa Arusha. Miongoni mwa mambo waliyoafikiana ni kongamano kubwa la Artificial Intelligence (AI) litakalofanyika Mei 2025, ambapo mtaalamu kutoka Marekani atatoa elimu kwa vijana wa mkoa huo.
Mazungumzo yao pia yamejumuisha ushirikiano wa Arusha na chuo cha Zanzibar kinachofadhiliwa na Serikali ya India ili kuimarisha matumizi ya AI katika kazi mbalimbali. Aidha, wamekubaliana kuanzisha kilimo cha mitishamba kwa ajili ya dawa za asili, ufadhili wa masomo kwa vijana 1,000 nchini India, na mafunzo ya upishi kwa wapishi 50 wa Kitanzania kujifunza mapishi ya Kihindi ili kuvutia watalii.
Fursa nyingine muhimu ni kuimarisha kilimo cha maembe kwa ajili ya soko la India, nchi ambayo ina mahitaji makubwa ya unga wa maembe. Hatua hizi zitawanufaisha vijana wa Arusha kwa kuwapatia maarifa, ajira, na fursa za biashara zinazotokana na ushirikiano huu wa kimataifa.
Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Makonda Zerobrain awe Waziri Mkuu? Kwa kitu gani anachoweza zaidi ya rekodi uuaji, uporaji wa mali za matajiri, utekaji?Makonda kwa kweli yupo vizuri mkuu, ni zaidi ya waziri mkuu
Ulikugusa passport gusika! Uzuri Mungu hapangiwe!Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Makonda Zerobrain awe Waziri Mkuu? Kwa kitu gani anachoweza zaidi ya rekodi uuaji, uporaji wa mali za matajiri, utekaji?
Mtu mwenyewe kwanza LGBT