Pre GE2025 Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kumchagua makonda hata ndani ya ccm yenyewe .
Bashite hajawahi kushinda kwa kuchaguliwa kwenye nafasi yeyote ya uongozi na haitaka itokee
 
Anamjua Gabacholi vizuri lakini? Maelezo ya hivyo yametolewa sana Nchi hii ila hakuna results .

Pia Tanzania Ina makubaliano na India kwenye scholarship ila balozi hawezi toa hizo nafasi 1,000 kama haipo kwenye MoU zitaishia kuwa ni porojo.

Mwisho mambo ya mapishi ndio anayaweza Sasa 😂😂
 
Mkuu bora ungejenga hoja tu...yawezekana mimi ndiye Makonda mwenyewe uwezi juwa; Jenga hoja acha kusema sina cheo au mimi ni hater kwasababu hunifahamu.
Kukosekana kwa kiongozi mzuri siyo justification ya kumfanya Mh. Makonda kuwa kiongozi mzuri.
 
Kichwa cha habari ni tofauti na porojo za ndani. Katafutia vijana 1,000 kusomea fani gani, na nani atawalipia hayo masomo, kama tu humu nchini serekali inashindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa chuo?
Amekuambia watapata ufadhili huelewi kitu gani
 
Mkuu wa mkoa bora ni Antony Mtaka that man is innovative,passionate,visionary hawa wanaokaa mjini na kuomba hela kwa matajiri na kuwapa watu pipi hakuna maana
Ameinnovate kitu gani kusifia wanawake wa Njombe kuwa wanamiliki milioni 500 lakini utawakuta wanakuna nazi sokoni? Amebuni nini? Kumiliki 500M benki bado unakuna nazi sokoni ni ujinga na ushamba, waelimishwe wawekeze hela.
 
Pole kijana, hatoweza kuelewa... endelea kushabikia huyo bashitemakamera wenu
 
Ajitafutie yeye kwanza nafasi ya kusoma NECTA kwa jina lake halisi la Daud Albert Bashite ili aliache jina la forgery la Paul Cristian Makonda.

Huyu mbwa anapenda sana mapichapicha lakini ni ZEROBRAIN. Hakuna namna Mkuu wa Mkoa anaweza kutafuta fursa ya vijana kusoma nje ya Tanzania. Hiyo ni kazi ya Wizara ya Elimu, period.

Lakini WAJUNGA wanamuamini mbwa huyu muuaji
 
Makonda kwa kweli yupo vizuri mkuu, ni zaidi ya waziri mkuu
Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Makonda Zerobrain awe Waziri Mkuu? Kwa kitu gani anachoweza zaidi ya rekodi uuaji, uporaji wa mali za matajiri, utekaji?

Mtu mwenyewe kwanza LGBT
 
Hii nchi ina wajinga wengi sana. Yaani Makonda Zerobrain awe Waziri Mkuu? Kwa kitu gani anachoweza zaidi ya rekodi uuaji, uporaji wa mali za matajiri, utekaji?

Mtu mwenyewe kwanza LGBT
Ulikugusa passport gusika! Uzuri Mungu hapangiwe!
Jamaa kakuzidi kila kitu kwenye mafanikio na kufahamika!
Endelea kuumia pole sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…