Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Bado naendelea kutumaini kuwa hii habari si ya kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We elewa tu Bashite na Magu ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke.
Hivi wewe ndo Ndugai !???Huku akijua kabisa kuwa Yeye si Mtaalam wa Soka, hajawahi hata Kucheza Chandimu wala Kusomea Ukocha sehemu yoyote ile achilia mbali Miguu yake ilivyokaa ambayo haiwezi kutoa Ushirikiano kwa Yeye kuwa Mchezaji Mpira Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam amewatishia Wachezaji Kelvin Yondan na Erasto Nyoni kuwa hakuna Kustaafu Kuchezea Taifa Stars na kuwaambia kuwa bado wapo sana tu.
“ Hakuna cha Yondan na Nyoni Kustaafu sasa Kuchezea Taifa Stars na bado mpo sana tu halafu ole Wenu nije Kusikia hamtaki Kuchezea Taifa Stars au Mnastaafu sasa. Na kama ni kuitwa Kikosini Taifa Stars mtaitwa sana tu na Kocha ila habari ya nyie Kustaafu sitaki Kuisikia kutoka Kwenu sawa? “ alisema Makonda.
Kwa Kauli hii na Vitisho hivi vya Makonda kwa hawa Wachezaji Waandamizi wawili akina Yondan na Nyoni ambao walisikika na kukaririwa wenyewe wakisema kuwa wanataka sasa Kustaafu Kuichezea Taifa Stars kwani wamechoka na wanataka Kuwapisha Wachezaji wengine ni dhahiri shahiri kwamba sasa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ndiye Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Rais wa TFF na Waziri wa Michezo na kwamba wenye Nafasi hizo akina Amunike, Karia na Mwakyembe wao wapo wapo tu.
Labda tu nimsaidie Makonda kwa kumwambia kwamba kwa Kitendo chake hiki cha Kuwatishia na Kuwalazimisha akina Yondan na Nyoni waendelee Kuichezea Taifa Stars na Wasistaafu kina Madhara makubwa mno kwa Mpira wa Tanzania na tayari kuna Sumu ya aina yake ameshaipandikiza ndani ya Kikosi hivyo leo niwe wa Kwanza kuwaambia Watanzania kwamba kama Makonda ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Hamasa ya Taifa Stars huku akiendelea kuwa na hiki Kiburi chake, Nyodo na Dharau sahauni Timu ya Taifa Stars kufanya vizuri katika Mashindano au Michezo yake yoyote ile na tutaendelea Kuchekwa na kuwa Kichwa cha Mwendawazimu mpaka tukome.
Kama CCM yenyewe imeshachoka na kuchokwa huku wenye nayo wakiamini bado ni imara na iko kwenye misingi yake KWANINI WASIAMINI HAO WACHEZAJI BADO WANAFAA KUCHEZEA TAIFA STARS YA CCM?Aggrey Morris, Kelvin Yondani na Erasto wameshachoka, umri umesogea.
Kati yao hakuna aliye chini ya miaka 35. Makonda anaongea kitu asichokielewa, labda ni katika kuwapa moyo.
Inawezekana "clip" imeeditiwaKama habari hii ni ya ukweli basi tunahitaji maombi ya kitaifa
Hahaha Isaac malyamungu mshika mabegi wa idd AminMbali na ushauri huo kisoka,inaonekana kisiasa pia huyu Kanali Isaac Malyamungu ameshamshauri jiwe ang'ang'anie madarakani kama Mugabe pale awamu yake itakapokoma.
Tumechoka kumjadili huyo hana hadhi ya kujadiliwa sana humu JF
Inawezekana mkuu unajua hata Mimi namshangaa kiukweliWe elewa tu Bashite na Magu ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke.
Amekuingilia wewe sisi hatuwezi kuingiliwa na anayeingiliwa.K
Kama hii habari ni ya kweli basi tumeingiliwa
Nyoni hajafikisha 35 badoAggrey Morris, Kelvin Yondani na Erasto wameshachoka, umri umesogea.
Kati yao hakuna aliye chini ya miaka 35. Makonda anaongea kitu asichokielewa, labda ni katika kuwapa moyo.
Nyoni hajafikisha 35 badoAggrey Morris, Kelvin Yondani na Erasto wameshachoka, umri umesogea.
Kati yao hakuna aliye chini ya miaka 35. Makonda anaongea kitu asichokielewa, labda ni katika kuwapa moyo.
Nyoni hajafikisha 35 bado
CCM inaweza kuwa imechoka lakini hao wenye kufikiriwa kuibadilisha wameshachoka hata kabla hawajapewa nafasi ya kuongoza Tanzania. Hao ambao ni mbadala wameshaonyesha udhaifu hata kabla hawajakabidhiwa ikulu.Kama CCM yenyewe imeshachoka na kuchokwa huku wenye nayo wakiamini bado ni imara na iko kwenye misingi yake KWANINI WASIAMINI HAO WACHEZAJI BADO WANAFAA KUCHEZEA TAIFA STARS YA CCM?
Umri wake wa kwenye passport ni chini ya miaka 35 umri wake halisi anaweza kuwa ni miaka kati ya 38-40.Nyoni hajafikisha 35 bado