Hakuna dhambi mbaya kama kuabudu miungu wengine na pia ni amri ya kwanza kwenye amri kumi. Maandiko yanasema hivyo, tusiweke tunavyopenda sisi.Hakuna dhambi mbaya na inaumiza kama kuwanyima watu haki yao ya kuishi.
Hakika inaumiza hadi unaingia kaburini.
Angetulia. Miaka hii mitano ya mwisho angeitumia kujisafisha na kutengeneza watu wake wa kuaminika ndani ya chama.Hilo ni kosa kubwa alilofanya Mr Makonda, Kigamboni haikuwa karata nzuri kwake. Wakongwe ndani ya chama tulimwambia ila alifikiri pesa itawanunua wajumbe.
Well Noted Mkuu.Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu...
Mkuu uliwaza mbali sana. Na ndiyo ukweli wenyewe.Wanangoja uchaguzi uishe wampe cheo kingine. Wamemtumia vibaya na kwakuwa hiki ni kipindi cha kampeni,watajidai kumtenga ili asiwaathiri na makandokando yake, ila uchaguzi ukiisha, watampa tena nafasi.
Subirini mtakuja kuniambia.
Utabiri: 2020 Makonda anaweza kupigwa chini ili kutafuta kura halafu uchaguzi ukiisha anapewa kitengo kingine
Makonda pamoja na makando kando yake bado ni kiongozi mzuri...anasifa za kiuongozi...Mimi baba Jesca akimteua hata waziri wa mambo ya ndani sitashangaa..maana uwezo anao..We acha tu jamaa namkubali sana maana kijana alionyesha anaweza uone sasa ana familia anajaribu kuhangaika kama baba apate nafasi maisha yaende hajali kudharauliwa kabisa😥😥😥
Kwani yale makontena aliyapeleka wapi?Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka..
Pole zake. Hajitambui kuwa enzi zake zimepita.Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Ufafanuzi tafadhariUsiwe na huruma Kwa MTU ameharibu Sura ya mkuu wa Taifa na Taifa. Sorry Tanzanian
Wanangoja uchaguzi uishe wampe cheo kingine. Wamemtumia vibaya na kwakuwa hiki ni kipindi cha kampeni,watajidai kumtenga ili asiwaathiri na makandokando yake, ila uchaguzi ukiisha, watampa tena nafasi.
Subirini mtakuja kuniambia.
Utabiri: 2020 Makonda anaweza kupigwa chini ili kutafuta kura halafu uchaguzi ukiisha anapewa kitengo kingine
Hivi ilikuwa ni lazima aende bila kualikwa?Something is wrong! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Mimi naona baba na mwana wanaekti ili waonekane wapo mbalimbali kutuzugaSomething is wrong! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Mupe mwanaizaya hiyo! sijui kimempata nini shabiki namba moja wa mauaji ya Ben Saanane. Hatutawasahau daima.Bado wewe
mi mwenyewe nimmemwonea huruma ila nikikumbuka alivyopora wahindi fedha zao , dah aisee huyu jamaa muoneni tu, kama mtu amfika Kigamboni, Makonda anaishi eneo la MUONGOZO, anajitapa ndio tajiri mkuu pale, wacheni kabisa.Too bad hadi nimeona huruma ...
Kwani siku zingine huwa anahutubia muda gani, asbh au usiku mkuu, hebu fafanua..Unajua siri iliyopo hadi Magufuli kuhutubia mkutano mchana? Tulieni mambo ni magumu sana huko
Siasa za tanzania ni za maji taka ..Huko Tanganyika packers Tundu Lissu yuko Peke yake. Tanzania Inachosha
Shangaa pia, yani mambo mengine yanafurahisha sanaKwani siku zingine huwa anahutubia muda gani, asbh au usiku mkuu, hebu fafanua..