Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Hakuna dhambi mbaya na inaumiza kama kuwanyima watu haki yao ya kuishi.
Hakika inaumiza hadi unaingia kaburini.
Hakuna dhambi mbaya kama kuabudu miungu wengine na pia ni amri ya kwanza kwenye amri kumi. Maandiko yanasema hivyo, tusiweke tunavyopenda sisi.
 
Hilo ni kosa kubwa alilofanya Mr Makonda, Kigamboni haikuwa karata nzuri kwake. Wakongwe ndani ya chama tulimwambia ila alifikiri pesa itawanunua wajumbe.
Angetulia. Miaka hii mitano ya mwisho angeitumia kujisafisha na kutengeneza watu wake wa kuaminika ndani ya chama.

2025 ndio ilikuwa wakati sahihi yeye kugombea maana angekuja rais mwingine hata asingekuwa na uhakika wa kupata nafasi ya kuteuliwa. Ungekuwa wakati sahihi kujaribu kugombea.
 
Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu...
Well Noted Mkuu.
 
Hivi lakini si hana tena Wadhfa kwa sasa ni vipi tena aruhusiwe kukaa hilo jukwaa kuu?.....mimi naona ipo sawa tu sema ni yeye labda anachanganya mambo...huwezi kutoka kwenye madaraka na ukatarajia huduma zile zile.
 
We acha tu jamaa namkubali sana maana kijana alionyesha anaweza uone sasa ana familia anajaribu kuhangaika kama baba apate nafasi maisha yaende hajali kudharauliwa kabisa😥😥😥
Makonda pamoja na makando kando yake bado ni kiongozi mzuri...anasifa za kiuongozi...Mimi baba Jesca akimteua hata waziri wa mambo ya ndani sitashangaa..maana uwezo anao..
 
Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka..
Kwani yale makontena aliyapeleka wapi?
 
Something is wrong!! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Pole zake. Hajitambui kuwa enzi zake zimepita.
 
Something is wrong! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Hivi ilikuwa ni lazima aende bila kualikwa?
VIP kawaida ni kwa mwaliko. Kama hakualikwa, ilikuwa ujumbe tosha kwamba hana thamani tena.
Mambo mengine ni kujiletea pressure tu. Akae kwake atulie akisubiri huruma ya baba yake Pombe.
 
Something is wrong! Mwana wa mfalme Leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.

Kweli maisha yanaenda kasi Sana Sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.

Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .

Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa

Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.

Naisi mpaka machozi hili funzo Ni hatari Sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Mimi naona baba na mwana wanaekti ili waonekane wapo mbalimbali kutuzuga
 
Too bad hadi nimeona huruma ...
mi mwenyewe nimmemwonea huruma ila nikikumbuka alivyopora wahindi fedha zao , dah aisee huyu jamaa muoneni tu, kama mtu amfika Kigamboni, Makonda anaishi eneo la MUONGOZO, anajitapa ndio tajiri mkuu pale, wacheni kabisa.
 
Huko Tanganyika packers Tundu Lissu yuko Peke yake. Tanzania Inachosha
Siasa za tanzania ni za maji taka ..

chama tawala wana deal na upinzani, upinzani una deal na chama tawala.

je matatizo, umasikini, ujinga, maradhi, afya bora, ajira, biashara na uwekezaji nani atashuhulikia
 
Back
Top Bottom