Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Tatizo la naloliona 1.makonda haamini kama wajumbe wamemdondosha kule kigamboni 2.makonda haamini kama magufuli na kamati yake wamemtosa kule dodoma.
 
Bado mapema, Baba yake huwa hatabiriki muda mwingine. Usishangae akaja kumteua kuwa mbunge.
 
NIliwahi kuleta uzi humu na nikasema yafuatayo kuhusu Makonda.

“Tegemea kwamba around 2023 atafarakana na bosi wake. Hiyo itapelekea kupoteza kwa muda ukuu wake wa mkoa wa Dar es Salaam. Itakapotokea, kuna uwezekano akapelekwa mkoa mwingine na atarudishwa baada ya uchaguzi.

Makonda hatakuja kuwa Mbunge, Waziri au Raisi”.


Haya niliyasema kwenye post #55 kwenye uzi huu:

Paul Makonda ndiye 'Robert Moses' wetu?
 
DAB bado ni Kiongozi mkubwa Sana , Ni suala la Muda tu kwasababu ya kipindi tulichonacho Kama chama
 
Halafu mbona kadhoofika Sana, muda mwingine madaraka kwa vijana hayafai, ona nkurunziza kuambiwa kutoka ikulu kafa
Mkuu katika hawamu hii hao kina Nkurunzinza ndio marafiki tulio baki nao, usizushe juu ya kifo chake tusije wapoteza tukabaki bila rafiki.
 
Ila alijisahau sana, alitoa kauli zisizorixhisha kwa viongozi wenzie bila kujali japo amefanya mengi mazuri ila alishindwa kuelewa uongozi ni dhamana,

#tujitahidi kukumbuka tulikotokea na tusijisahau kwa vyeo tulivyonavyo
 
Siasa za tanzania ni za maji taka ..

chama tawala wana deal na upinzani, upinzani una deal na chama tawala.

je matatizo, umasikini, ujinga, maradhi, afya bora, ajira, biashara na uwekezaji nani atashuhulikia
Siasa za afrika ni za majitaka,afrika watawala wanaokotwa awaandaliwi afrika Hakuna mifumo ya kuandaa viongozi
 
Siasa za afrika ni za majitaka,afrika watawala wanaokotwa awaandaliwi afrika Hakuna mifumo ya kuandaa viongozi
Nakubaliana nawewe kabisa. Tunabahatisha bahatisha vitu, viongozi wanaishi kwa visasi na kujimwambafai badala ya kutatua matatizo common kwenye jamii.
 
Nakubaliana nawewe kabisa. Tunabahatisha bahatisha vitu, viongozi wanaishi kwa visasi na kujimwambafai badala ya kutatua matatizo common kwenye jamii.
Hawa wakoloni weusi hovyo kabisa miaka 60 ya Uhuru hata chooni tu wanategemea misaada,mwafrika anaishi maisha ya hovyo kabisa Kama jehanamu Hali Kuna kila kitu huku Kodi zao zikifichwa benk za ulaya na watawala
 
Mpk mange kaona huruma,sio mchezo!

JESUS IS LORD[emoji120]
 

Makonda aka Bashite ni raia wa kawaida sasa sidhani kuna haja ya kumuonea huruma. Alikuwa RC akaamua mwenyewe kupigania ubunge kwahiyo nafasi yake imechukuliwa na hakupata bahati kushinda kuwa mbunge mteule wa CCM.

Sasa tutaonana nae kijiweni na yeye kama mwananchi inabidi atumie akili zake kuendeleza hilo shamba lake anaweza kuweka dula la matunda hapo akalifungua 24/7 (masaa 24 siku 7) mfululizo kama alivokuwa anasema kama Dar kuna usalama mzuri. WCB pia wanaweza kumtumia katika video zao pia. Yeye kama kijana ana fursa nyingi tu kufanya anachotaka.
 
Jiwe alimvumilia sana wakati mnamuita Bashite, mara mtoto pendwa na mengine mengi, yawezekana alikua pale kwa mkono wa mtu au juhudi zake mwenywe. wakati yote yanatokea mzee wa watu hakuwahi hata kuongeza kitu zaidi ya kumsihi apige kazi tu. Alianza kuboronga baada ya kuanza kuagiza vifaa na kutaka visilipiwe kodi. Mzee akasema lipa(sikumbuki kama alilipa). ninachotaka kusema ni kwamba Kuna watu walifanya machache tu akawafukuza kwanini Ma K alimvumilia? mi sijui. lilivyookea hili akaona hapahapa pasipokua na lawama acha aende na hawezi mchagua katika nafasi yeyote ile hata ya ukurugenzi.
 
Ngoja nikufahamishe makonda sio kuwa amezuiliwa kukaa jukwaa kuu.ila sheria rais akiisha ingia uwanjani huwezi wewe kuja baadae ukae jukwaa kuu.viatu kuwa na vumbi weww unaijua dodoma vumbi kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…