msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Tatizo la naloliona 1.makonda haamini kama wajumbe wamemdondosha kule kigamboni 2.makonda haamini kama magufuli na kamati yake wamemtosa kule dodoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊👊Mungu hadhihakiwi
Mkuu katika hawamu hii hao kina Nkurunzinza ndio marafiki tulio baki nao, usizushe juu ya kifo chake tusije wapoteza tukabaki bila rafiki.Halafu mbona kadhoofika Sana, muda mwingine madaraka kwa vijana hayafai, ona nkurunziza kuambiwa kutoka ikulu kafa
Ila alijisahau sana, alitoa kauli zisizorixhisha kwa viongozi wenzie bila kujali japo amefanya mengi mazuri ila alishindwa kuelewa uongozi ni dhamana,Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo ni hatari sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Siasa za afrika ni za majitaka,afrika watawala wanaokotwa awaandaliwi afrika Hakuna mifumo ya kuandaa viongoziSiasa za tanzania ni za maji taka ..
chama tawala wana deal na upinzani, upinzani una deal na chama tawala.
je matatizo, umasikini, ujinga, maradhi, afya bora, ajira, biashara na uwekezaji nani atashuhulikia
Nakubaliana nawewe kabisa. Tunabahatisha bahatisha vitu, viongozi wanaishi kwa visasi na kujimwambafai badala ya kutatua matatizo common kwenye jamii.Siasa za afrika ni za majitaka,afrika watawala wanaokotwa awaandaliwi afrika Hakuna mifumo ya kuandaa viongozi
Kwa sasa Makonda anaongoza kitu gani?DAB bado ni Kiongozi mkubwa Sana , Ni suala la Muda tu kwasababu ya kipindi tulichonacho Kama chama
Hawa wakoloni weusi hovyo kabisa miaka 60 ya Uhuru hata chooni tu wanategemea misaada,mwafrika anaishi maisha ya hovyo kabisa Kama jehanamu Hali Kuna kila kitu huku Kodi zao zikifichwa benk za ulaya na watawalaNakubaliana nawewe kabisa. Tunabahatisha bahatisha vitu, viongozi wanaishi kwa visasi na kujimwambafai badala ya kutatua matatizo common kwenye jamii.
Something is wrong! Mwana wa mfalme leo kapigwa marufuku kukaa Jukwaa kuu na walinzi kwenye uwanja wa jamhuri Dodoma.
Kweli maisha yanaenda kasi sana sana walinzi wamemwambia akakae na raia wengine ila sio Jukwaa kuu.
Vijana tuna la kujifunza hapa kwamba maisha ni gwaride mbele nyuma geuka .
Hakika amenipa funzo huyu jamaa kwa jinsi anavyosikitisha kwa Sasa
Leo Makonda ndio wa kupigwa vumbi na kushindwa kuchana nyele vizuri hata mwili kapungua.
Naisi mpaka machozi hili funzo ni hatari sana vijana tuishi kwa amani Dunia hii ina mengi sana.
Ashauriwe arudi KolomijeHalafu jamaa kachoka ghafla viatu vina vumbi daaaah
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Siri ipi sema hapasUnajua siri iliyopo hadi Magufuli kuhutubia mkutano mchana? Tulieni mambo ni magumu sana huko
Unadhani marehemu Mbaraka alipoimba "Jogoo la shamba..." alikosea? au ile "Sifa inaua...!!"Kibamba ilimfaa zaidi,hata wagombea wake hawakuwa wanafahamika kuliko yule wa Kigmboni.
Bavicha kwa sound hamjamboNaisi mpaka machozi
Jiwe alimvumilia sana wakati mnamuita Bashite, mara mtoto pendwa na mengine mengi, yawezekana alikua pale kwa mkono wa mtu au juhudi zake mwenywe. wakati yote yanatokea mzee wa watu hakuwahi hata kuongeza kitu zaidi ya kumsihi apige kazi tu. Alianza kuboronga baada ya kuanza kuagiza vifaa na kutaka visilipiwe kodi. Mzee akasema lipa(sikumbuki kama alilipa). ninachotaka kusema ni kwamba Kuna watu walifanya machache tu akawafukuza kwanini Ma K alimvumilia? mi sijui. lilivyookea hili akaona hapahapa pasipokua na lawama acha aende na hawezi mchagua katika nafasi yeyote ile hata ya ukurugenzi.Wanangoja uchaguzi uishe wampe cheo kingine. Wamemtumia vibaya na kwakuwa hiki ni kipindi cha kampeni,watajidai kumtenga ili asiwaathiri na makandokando yake, ila uchaguzi ukiisha, watampa tena nafasi.
Subirini mtakuja kuniambia.
Utabiri: 2020 Makonda anaweza kupigwa chini ili kutafuta kura halafu uchaguzi ukiisha anapewa kitengo kingine