Pre GE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njia ya mwongo ni fupi. Akiwa Hai alisema anaiongelea CHADEMA sababu alitumwa na Kaka yake (Mbowe) kumsemasema ili maandamano yapate watu. Akasema baada ya Hai hataisema tena CHADEMA wala Mbowe. Hapa kaisema CHADEMA, Mbowe na Lissu. Huyu ni Zuzuest.
 
Anawewesekaaa ña Lisu....hana kitu kipya ?
 
Alisikika Msemaji Mkuu wa CHADEMA Ndugu Bonge Tako Manyama Bashite.
 
..Chadema na Act kwa mbali.

..Mama amemwaga fedha nyingi mno kwa vyama na taasisi mamluki kuwapiga vita wapinzani wa kweli.

..hali inatisha.
Wapinzani wa kweli kina nani?
 
Makoda na aliyemteua wote wapuuzi, mbona hazungumzii jaribio alilolisimanmia likashindikana la kumuua Lissu?
 
M
Inavo onekana kuna tatizo baina ya mw/kiti na makamo wk ukisoma kwa umakini coment zte utagundua hakuna anobisha kuwa hakuna mgawanyko
 
Makonda Makonda narudia mara ya mwisho acha kufikiri kwa kutumia makalio, Bali Anza kutumia ubongo kufikiri.
 
Je yule aliyekwenye wanted list anawezaa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…