Dawa ya moto ni moto.
Ukiangalia video yao walivyo kutana na Gambo uso kwa uso Makonda mwenyewe anaangalia pembeni. Halafu Gambo kamkazia.
Pale ndio nilipojua kwanini Gambo ni sterling, ambae Lema mwenyewe ilibidi amgwaye wakati Gambo mkuu wa mkoa wa Arusha.
Makonda anatumia kujipendekeza tu kwa viongozi, lakini kiuanaume amuwezi Gambo.