JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Kabisa mkuu inawezekanaVitu vya bure siyo vya kukimbilia!! Vingine vina ahadi za kuzimu. Isije ikawa ni ng'ombe wa majini!! Ukishakula unaweuka, unabakia bila akili, unakuwa kama mwashambwa.