Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais na Serikali yake wameamua kucheza na akili za Watu wa Arusha kuelekea Uchaguzi Mkuu, yaani wameona nyama choma ndo mahitaji muhimu ya Wana Arusha, hakika inasikitisha
Mbunge amealikwa?Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Makonda ku raise idadi hiyo ya ng’ombe kidogo sana kwake hata bila kutumia pesa yoyote ya serikaliKuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Msituharibie mfungo wetu!!Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Makafara tu hayo wote mtakaokula.mnaenda kupumbazwa akiliKuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Kick ya kuusaka ubunge tu!Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Kabisa, ndo maana Kuna watu wamejianzishia tone tone wajipigie mapesa waende zao ubelgiji na kanada kutunza watoto na wake zao.Kuongoza Tz ni kazi rahisi sana, wajinga ni wengi mnoo!!.
I thought about this.Makafara tu hayo wote mtakaokula.mnaenda kupumbazwa akili
Hapo ni kafara tupuujinga wa ng'ombe huo kyuma yake kufanya ngazi ya mafi vijana fanyeni kazi mchome nyama kwa pesa zenu kwani sh ngapi,Tumbo linaponza tako
Acheni njaa na uzwazwa wa kushabikia dezo. Badala ya kula na kusherehekea, tunapaswa kuuliza na kujua namna alivyopata hiyo fedha. Na isitoshe, malipo yake ni nini?Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Ni kweli mkuu.. kwa sisi tunaojua hivi vitu tunajua wazi kua Hilo kafara si la nchi hii ni la hatari...Hapo ni kafara tupu
DAB anataka, kwa udi na uvumba, kuwa mbunge wa Arusha. Anajua akipata ubunge na uwaziri ataupata. SASHA ana imani naye sana ndo maana zaidi ya 500 million zinatumika usiku wa leo.Rais na Serikali yake wameamua kucheza na akili za Watu wa Arusha kuelekea Uchaguzi Mkuu, yaani wameona nyama choma ndo mahitaji muhimu ya Wana Arusha, hakika inasikitisha
Sio nyama ya ng'ombe ni nyama ya porini. Acha upotoshaji wa kijinga.Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ikiwa ni sehemu ya shamrashamra hizo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeratibu tukio hilo eneo la 'Clock Tower' na kwamba, wakazi wa Arusha watakula nyama choma bila gharama yoyote.
Ng’ombe zaidi ya 400 pamoja na mifugo mingine imechinjwa na kuchomwa ili kumpa fursa kila Mwananchi atakayefika katika eneo hilo kufaidi huduma hiyo isiyo na malipo.
Pia, Soma
Ndo maana akaweka hii event akiamini itampatia wafuasi wa kutoshaDAB anataka, kwa udi na uvumba, kuwa mbunge wa Arusha. Anajua akipata ubunge na uwaziri ataupata. SASHA ana imani naye sana ndo maana zaidi ya 500 million zinatumika usiku wa leo.
Akae vizuri, yaliyomkuta kigamboni yasije kujirudia.