Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.
Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa kimya" Kuna watu wanajipendekeza kutaka waonekane wazuri".
Nimkumbushe tu Makonda kuwa Magufuli alipofariki kulitolewa kauli kadha wa kadha na kundi la wenye nchi. Mifano:-
*Nchi Sasa imepumua.
*Mungu kaamulia ugomvi.
*Ikulu ilikaliwa na shetani.
*Wema hawafi.
*Never and never again.
Je, Makonda ana ubavu wa kushindana na hawa watu?? Bila shaka hana uwezo huo. Hivyo Makonda hatoboi, soon atanyamaza ama atanyamazishwa.