Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.

Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa kimya" Kuna watu wanajipendekeza kutaka waonekane wazuri".

Nimkumbushe tu Makonda kuwa Magufuli alipofariki kulitolewa kauli kadha wa kadha na kundi la wenye nchi. Mifano:-
*Nchi Sasa imepumua.
*Mungu kaamulia ugomvi.
*Ikulu ilikaliwa na shetani.
*Wema hawafi.
*Never and never again.

Je, Makonda ana ubavu wa kushindana na hawa watu?? Bila shaka hana uwezo huo. Hivyo Makonda hatoboi, soon atanyamaza ama atanyamazishwa.
Una kitu,usipuuzwe!!!
 
Mbona Membe kapotezwa na hao wenye nchi wameufyata?.Magufuli na Makonda ndiyo Wanaume waliojaribu kupambana na hao Wahuni na kuwafungua macho Watanzania kuwa wao ndiyo wenye siyo hizo takataka!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.

Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa kimya" Kuna watu wanajipendekeza kutaka waonekane wazuri".

Nimkumbushe tu Makonda kuwa Magufuli alipofariki kulitolewa kauli kadha wa kadha na kundi la wenye nchi. Mifano:-
*Nchi Sasa imepumua.
*Mungu kaamulia ugomvi.
*Ikulu ilikaliwa na shetani.
*Wema hawafi.
*Never and never again.

Je, Makonda ana ubavu wa kushindana na hawa watu?? Bila shaka hana uwezo huo. Hivyo Makonda hatoboi, soon atanyamaza ama atanyamazishwa.
Huyo jamaa hajajifunza hata kidgo soon watamuweka kando, Bora angesoma mchezo akaendelea kula mema ya nchi
 
Huo ndo wajibu wake

Kueneza itikadi za chama chake na kukiuza kwa wananchi kwa kuhakikisha ilani ya chama inatekelezwa na Serikali
Hao wamechanganyikiwa,walidhani Makonda atakuja na vibwagizo vyao vya kitapeli,eti "Mama anaupiga mwingi na nani kama Mama"kumbe kwa ground wanatafuna nchi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nape ni miongoni mwa wenye nchi atiii? Maana ndo alisema "mungu kaamulia ugomvi" hahahahah!
 
Nape yupo chini ya mwamvuli wa wenye nchi hata kama yeye hajafikia viwango vya kuitwa mwenye nchi.
 
Hao wote uliowasema ni binadaam wa nyama watakufa na nchi itasonga mbele na vizazi vingine na uzuri Mungu aliweka ukomo wa umri na siku wakifa jamii ktk historia za hapo mbeleni watachukuliwa moja wa viongozi waliokuwa wazalendo baadaye wakageuka kuwa wasaliti. Mfumo uliamua kuacha na kuwa kimya ili kuona nani yupo na taasisi ya urais! Kibaya watu wengi wajinga wakajitokeza hakika mfumo ulishawatambua wote kabisa tena ushahidi upo bayana. Je watatokaje???? Nchi hii haiendeshwi kwa mihemuko kauli za Makonda ndiyo kauli ya wenye nchi na sasa ndiyo wanasafisha njia 2025 ya Dkt Samia. Mnadhani tulivyokuwa tunalia kumlilia Dkt Magufuli tulilia bure?????? Lazima mliokejeli taasisi ya urais mkose ubunge, na hamtokuja kupata vyeo tena!
Mliomlilia magu ni Wala wale wanaomlilia shetani. Huyo Makonda Bado yuko kwenye hangover ya utawala wa dhalimu magu, hivyo anadhani hizo kiki za kupigia watu simu jukwaani Bado zina nafasi. Dhalimu mwenyewe alifanya kiki hizo za kishamba, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi akaona uhalisia akawa Hana jinsi zaidi ya kupora uchaguzi.
 
Kama wewe kidume hebu andika huo upuuzi kwenye IG au FB upate cha moto. Mamlaka ya rais inapaswa iheshimiwe. Hizo propaganda zenu ndiyo mnataka kuzileta kwa Dkt Samia.
 
Mamlaka inayopatikana kwa wizi wa kura nayo ni ya kutetemekewa? Huko IG na FB Kuna Nini, au ndiko mlikoajiri chawa wenu? Waambie hao chawa wenu waje huko jf watanikuta.
 
Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.

Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa kimya" Kuna watu wanajipendekeza kutaka waonekane wazuri".

Nimkumbushe tu Makonda kuwa Magufuli alipofariki kulitolewa kauli kadha wa kadha na kundi la wenye nchi. Mifano:-
*Nchi Sasa imepumua.
*Mungu kaamulia ugomvi.
*Ikulu ilikaliwa na shetani.
*Wema hawafi.
*Never and never again.

Je, Makonda ana ubavu wa kushindana na hawa watu?? Bila shaka hana uwezo huo. Hivyo Makonda hatoboi, soon atanyamaza ama atanyamazishwa.
Kabla ya porojo zako hizo ungebidi ujiulize, Makonda kajiweka hapo kwenye Uenezi? Kama jajajiweka, kawwkwa na Hayati Magufuli? Kama sio yeye, nani kamuweka hapo?
 
Wengi tulisema Makonda hawezi rudi kwa nafasi yoyote ila ndio huyu hapa tunaishi nae.

Kateuliwa kuwepo hapo, na anaweza kuteuliwa nafasi nyingine na hakuna kitu tutafanya.

Tuendelee kusubiri labda Dua la kuku litampata mwewe.
 
imepangwa hivyo, kwa nini unafikiri alipotea kwa muda mrefu ? alikuwa aende jela halafu nini kilitokea? alipotea akaja kuibuka kateuliwa unafikiri ni bahati mbaya tu? kama Ndugai kauli tu ilimtoa na alikuwa mkuu wa mhimili unaojitegemea Bunge ije kuwa makonda ambaye anateuliwa raisi samia?

makonda hana tofauti na simba na yanga, wote wanatumika to keep this regime going …
On spot. Hata akina 7ya watatumika ikibidi...
 
Wengi tulisema Makonda hawezi rudi kwa nafasi yoyote ila ndio huyu hapa tunaishi nae.

Kateuliwa kuwepo hapo, na anaweza kuteuliwa nafasi nyingine na hakuna kitu tutafanya.

Tuendelee kusubiri labda Dua la kuku litampata mwewe.
Halitompata
 
Back
Top Bottom