Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

Una kitu,usipuuzwe!!!
 
Mbona Membe kapotezwa na hao wenye nchi wameufyata?.Magufuli na Makonda ndiyo Wanaume waliojaribu kupambana na hao Wahuni na kuwafungua macho Watanzania kuwa wao ndiyo wenye siyo hizo takataka!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
We jidanganye tu

Bila ya turufu ya JPM hakuna kura japo hata zisipokuwepo uchaguzi tunashinda vile vile
Kwani CCM toka lini wanategemea kura? Magufuli mwenyewe huo mwaka alibwagwa na Lowassa, lakini Kwa kuwa CCM hawategemei sanduku la kura wapo mpaka leo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hajajifunza hata kidgo soon watamuweka kando, Bora angesoma mchezo akaendelea kula mema ya nchi
 
Huo ndo wajibu wake

Kueneza itikadi za chama chake na kukiuza kwa wananchi kwa kuhakikisha ilani ya chama inatekelezwa na Serikali
Hao wamechanganyikiwa,walidhani Makonda atakuja na vibwagizo vyao vya kitapeli,eti "Mama anaupiga mwingi na nani kama Mama"kumbe kwa ground wanatafuna nchi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nape ni miongoni mwa wenye nchi atiii? Maana ndo alisema "mungu kaamulia ugomvi" hahahahah!
 
Hivi Nape ni miongoni mwa wenye nchi atiii? Maana ndo alisema "mungu kaamulia ugomvi" hahahahah!
Nape yupo chini ya mwamvuli wa wenye nchi hata kama yeye hajafikia viwango vya kuitwa mwenye nchi.
 
Mliomlilia magu ni Wala wale wanaomlilia shetani. Huyo Makonda Bado yuko kwenye hangover ya utawala wa dhalimu magu, hivyo anadhani hizo kiki za kupigia watu simu jukwaani Bado zina nafasi. Dhalimu mwenyewe alifanya kiki hizo za kishamba, lakini ilipofika wakati wa uchaguzi akaona uhalisia akawa Hana jinsi zaidi ya kupora uchaguzi.
 
Kama wewe kidume hebu andika huo upuuzi kwenye IG au FB upate cha moto. Mamlaka ya rais inapaswa iheshimiwe. Hizo propaganda zenu ndiyo mnataka kuzileta kwa Dkt Samia.
 
Kama wewe kidume hebu andika huo upuuzi kwenye IG au FB upate cha moto. Mamlaka ya rais inapaswa iheshimiwe. Hizo propaganda zenu ndiyo mnataka kuzileta kwa Dkt Samia.
Mamlaka inayopatikana kwa wizi wa kura nayo ni ya kutetemekewa? Huko IG na FB Kuna Nini, au ndiko mlikoajiri chawa wenu? Waambie hao chawa wenu waje huko jf watanikuta.
 
Kabla ya porojo zako hizo ungebidi ujiulize, Makonda kajiweka hapo kwenye Uenezi? Kama jajajiweka, kawwkwa na Hayati Magufuli? Kama sio yeye, nani kamuweka hapo?
 
Wengi tulisema Makonda hawezi rudi kwa nafasi yoyote ila ndio huyu hapa tunaishi nae.

Kateuliwa kuwepo hapo, na anaweza kuteuliwa nafasi nyingine na hakuna kitu tutafanya.

Tuendelee kusubiri labda Dua la kuku litampata mwewe.
 
On spot. Hata akina 7ya watatumika ikibidi...
 
Wengi tulisema Makonda hawezi rudi kwa nafasi yoyote ila ndio huyu hapa tunaishi nae.

Kateuliwa kuwepo hapo, na anaweza kuteuliwa nafasi nyingine na hakuna kitu tutafanya.

Tuendelee kusubiri labda Dua la kuku litampata mwewe.
Halitompata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…