Makonda: Hawajawahi kuona vita kati ya Tanzania na Marekani ila wanasema Marekani ina jeshi imara

Makonda: Hawajawahi kuona vita kati ya Tanzania na Marekani ila wanasema Marekani ina jeshi imara

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.


​
 
Kwa hiyo kama sijawahi kumwona kiongozi live... Nawaoma tu kwenye TV, maana nisiwakubali kama ni viongozi ? Ila baadae nimeangalia muvi mpaka mwisho nimemwelewa Makonda, tofauti na kichwa cha habari.
 
Jeshi la Marekani juzi juzi wametupa msaada wa mahema. Naomba niishie hapo
 
Back
Top Bottom