MAKONDA: Ikithibitika Harmonize anavuta bangi akamatwe awekwe ndani

MAKONDA: Ikithibitika Harmonize anavuta bangi akamatwe awekwe ndani

Inabidi na kule Wilaya ya Rombo, wachaga wanaovuka mpaka na kuingia kenya kupata Mirungi then wanarudi makwao nao wakamatiwe hukohuko.
Kuhusu Ghana
Ghana imeshuka hadi nafasi 3 kimataifa mwaka wa 2015 kama nchi ambako Cannabis Sativa, inayojulikana kama India Hemp (marujuani) au kwa hapa Ghana wanasema ni "WEE"au Bangi kwa Tanzania, inatumika sana kwa raia wake.Ikumbukwe pia hata Zimbabwe tayari bangi inaruhusiwa na siyo madawa ya kulevya na wanakusanya kodi kama bidhaa nyingine kutoka mashambani.
zaidi ya tani 10,000 za bangi zinazalishwa katika bara la Africa kila mwaka, kulingana na uchunguzi wa Umoja wa Mataifa 2014, ambao wanasema wanaamini kuwa inaweza kuwa na thamani ya mabilioni ya dola katika soko la kimataifa.

Serikali za Afrika bado hazijafuatilia mwenendo wa kuhalalisha kama katika mabara Ulaya na Amerika. Hata hivyo mwaka jana 2013, Lesotho ilikuwa nchi ya kwanza bara la Africa kutoa leseni za kisheria kulima Bangi, hayo ni mabadiliko makubwa kwa sera nyingi za biashara huru ya Bangi ikiwa ni kulima,kuuza ndani na nje ya nchi.

Nchi za Morocco na Afrika Kusini, zina nia ya kukuza mazao ya thamani ikiwemo zao la Bangi maana inahitajika kwenye sana kwenyematumizi ya dawa ambazo ni muhimu kwa binadamu.Bado nchi nyingi Africa zipo kwenye mijadala jinsi ya kutumia mmea wa Bangi ktk kusaidia upande wa matibabu na tafiti mbalimbali.

sNchi nyingi zipo kwenye tafiti kutokana na kutumia madawa mengi kama ya usingizi ambayo wananunua ngali wakati mengi ya hayo yanatokana na mmea wa bangi.Sasa swali linakuja kwa nini tusilime wenyewe na kutengeneza dawa wenyewe tukaokoa fedha tunazopoteza kununua hizi dawa toka mabara ya Ulaya na Asia?

Kenya waliweza kuingiza kiasi cha Sh16.5b (kenta shillings) kwa kipindi cha miaka 5 tu iliyopita na hizo ni kwa mauzo ya nje ya nchi.Wakati huohuo kwa upande wa Tanzania ni haramu na ukikamatwa ni jela.

Je,swali la kujiuliza Bangi Tanzania inatumika?
Je,Miraa/Mirungu Tanzania inatumika?
Sasa kwa nini utafiti usifanyike ili kujua kama tunaweza kufaidika na zao la Bangi kama alivyowahi kutoa pendekezo bungeni Mbunge Msukuma?
 
Nimemuagiza Gavana wa huko achunguze ile ni bangi au nini na ikigundulika ni bangi atakapotua tu hapa ni pingu na kupelekwa lock up, Vizuri namlea mwenyewe na mtoto anapokosea lazima umshikishe adabu bila kujali unampendaje,” amesema Makonda

Madaraka ya kulevya.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Wabongo mnachekesha sana,makonda hapo anaongea kama mlezi wa Wcb na mkuu wa mkoa wanaoishi hao vijana wake....Muacheni na nyie endeleeni na utimu kiba wenu.
 
Hakuonekana kuguswa Na wenzie kufungiwa kwa maana ya Diamond Na Ryvan
Akaonekana anatumia Kama ile Ni fursa ya kutoka Na ku shine Kama Solo Artist

Si unajua Tena Diamond Ni Mtoto wa Tandale
Aiseee kumbe! nilikua najiuliza hili Swali mda mrefu sana!
Muda hapa ndio utaamua
 
Wabongo mnachekesha sana,makonda hapo anaongea kama mlezi wa Wcb na mkuu wa mkoa wanaoishi hao vijana wake....Muacheni na nyie endeleeni na utimu kiba wenu.
Je,ameagiza achunguzwe nchini Ghana kama nani?Mlezi?Mkuu wa mkoa au vyote kwa pamoja?
 
Huwezi kumshataki Mtu kwa jinai aliyofanya Kwenye Nchi zingine

Taifa pekee linalofanya hivyo Ni Marekani pekee Na wao hufanya hivyo kwa Ubabe wao sio Sheria

Kama Bhange kavutia Ghana huwezi kumshataki kwa Hakimu Mkazi kisutu
sheria ya madawa ya kulevya ya Tanzania haihitaji utumie Tanzania tu,watakupima mkojo,ukithibitika unatumia utashitakiwa kwa kutumia madawa ya kulevya sehemu na tarehe isiojulikana
 
Ni kiki ya ngoma mpya Leo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza bangi ni bora mara elfu kuliko pombe au sigara! Kikubwa usivute bila malengo au kwa kupitiliza.
Madikteta huanza kwa mwendo mdogo mdogo, hata kama jamaa anavuta bangi akiwa faragha, wewe Bashite inakuhusu nini?
 
Kwanza bangi ni bora mara elfu kuliko pombe au sigara! Kikubwa usivute bila malengo au kwa kupitiliza.
Madikteta huanza kwa mwendo mdogo mdogo, hata kama jamaa anavuta bangi akiwa faragha, wewe Bashite inakuhusu nini?
si ndio mlezi wao
 
Anawaka kuliko boss sasa amekuwa kiwingu.
Kuna mpango wa chinichini wa kumnyofoa kwenye club ya Wasafi, hilo tamko la Al-watan Kolomije kuhusu matumizi ya Stura Ghana ni kama strategy ya kupenyeza kombeo.
 
Huwezi kumshataki Mtu kwa jinai aliyofanya Kwenye Nchi zingine

Taifa pekee linalofanya hivyo Ni Marekani pekee Na wao hufanya hivyo kwa Ubabe wao sio Sheria

Kama Bhange kavutia Ghana huwezi kumshataki kwa Hakimu Mkazi kisutu
mi mwenyewe nimeshangaa nibake kenya we unishtaki Bongo how
 
ww sio baba kalegani kweli? au balozi wa ghana
 
.
Google_20190202_232436.jpeg
 
Back
Top Bottom