Inabidi na kule Wilaya ya Rombo, wachaga wanaovuka mpaka na kuingia kenya kupata Mirungi then wanarudi makwao nao wakamatiwe hukohuko.
Kuhusu Ghana
Ghana imeshuka hadi nafasi 3 kimataifa mwaka wa 2015 kama nchi ambako Cannabis Sativa, inayojulikana kama India Hemp (marujuani) au kwa hapa Ghana wanasema ni "WEE"au Bangi kwa Tanzania, inatumika sana kwa raia wake.Ikumbukwe pia hata Zimbabwe tayari bangi inaruhusiwa na siyo madawa ya kulevya na wanakusanya kodi kama bidhaa nyingine kutoka mashambani.
zaidi ya tani 10,000 za bangi zinazalishwa katika bara la Africa kila mwaka, kulingana na uchunguzi wa Umoja wa Mataifa 2014, ambao wanasema wanaamini kuwa inaweza kuwa na thamani ya mabilioni ya dola katika soko la kimataifa.
Serikali za Afrika bado hazijafuatilia mwenendo wa kuhalalisha kama katika mabara Ulaya na Amerika. Hata hivyo mwaka jana 2013, Lesotho ilikuwa nchi ya kwanza bara la Africa kutoa leseni za kisheria kulima Bangi, hayo ni mabadiliko makubwa kwa sera nyingi za biashara huru ya Bangi ikiwa ni kulima,kuuza ndani na nje ya nchi.
Nchi za Morocco na Afrika Kusini, zina nia ya kukuza mazao ya thamani ikiwemo zao la Bangi maana inahitajika kwenye sana kwenyematumizi ya dawa ambazo ni muhimu kwa binadamu.Bado nchi nyingi Africa zipo kwenye mijadala jinsi ya kutumia mmea wa Bangi ktk kusaidia upande wa matibabu na tafiti mbalimbali.
sNchi nyingi zipo kwenye tafiti kutokana na kutumia madawa mengi kama ya usingizi ambayo wananunua ngali wakati mengi ya hayo yanatokana na mmea wa bangi.Sasa swali linakuja kwa nini tusilime wenyewe na kutengeneza dawa wenyewe tukaokoa fedha tunazopoteza kununua hizi dawa toka mabara ya Ulaya na Asia?
Kenya waliweza kuingiza kiasi cha Sh16.5b (kenta shillings) kwa kipindi cha miaka 5 tu iliyopita na hizo ni kwa mauzo ya nje ya nchi.Wakati huohuo kwa upande wa Tanzania ni haramu na ukikamatwa ni jela.
Je,swali la kujiuliza Bangi Tanzania inatumika?
Je,Miraa/Mirungu Tanzania inatumika?
Sasa kwa nini utafiti usifanyike ili kujua kama tunaweza kufaidika na zao la Bangi kama alivyowahi kutoa pendekezo bungeni Mbunge Msukuma?