Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

Makonda: Jezi za timu ya Taifa ni mbaya, hata ukiisugua na dodokii

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akizungumza na waandishi wa habari leo, Septemba 24, 2026, amesema jezi za timu za taifa zilizozinduliwa ni jezi mbaya sana hazina ubunifu hata wazisugue na dodoki

“Jezi ni mbaya, hata ukiisugua na dodoki, pambaneni kuifanya jezi iwe nzuri,” amesema Makonda.

Soma Pia: Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"
 
Hii nchi kuna watu unajiuliza kwa nini ni viongozi…..Yaani mtu Kama Huyu ndo Uhalisia wa Yale aliyoyasema Mwl Nyerere kuwa kuna watu wana tabia za kimalaya malaya…..Ethics za uongozi ni sifuri….unajiuliza na aliyemteua ana uhusiano naye upi….yaani hakuna uchungu wa Mali za umma…..inasikitisha sana
 
Makonda shikilia hapohapo kuna makando kando mengi kwenye michezo. Taifa Stars yenyewe ina basi la mwaka 1900s huko!
 
Ngoja tuulize wenzetu jersey wanatoa wapi.
1. PUMA
Iinavaliwa na Morrocco, Senegal, Ghana, Gabon, Egypt, Germany, Burkina Faso, Mamelodi
2.NIKE
Nigeria, Arsenal, Brazil, Chelsea
3. UMBRO
DRC
4. ADIDAS
Man united, Brazil
5.KAPPA
South Africa, Tunisia, As Roma
6. Fourteen
Cameron, Swiss
7. Nk nk
Kwahiyo huenda Makonda akawa sahihi.
Kit brand ya Tanzania haijawahi kuheshimika.
 
Jezi
 

Attachments

  • file_000000002238820ea742168c18ed73b6.png
    file_000000002238820ea742168c18ed73b6.png
    2.1 MB · Views: 15
  • file_000000009c70820ea503118b6bad2366.png
    file_000000009c70820ea503118b6bad2366.png
    2 MB · Views: 16
  • 1790455685907.jpg
    1790455685907.jpg
    239 KB · Views: 13
jezi
 

Attachments

  • file_00000000b8ac820eb8b6b0eec98c6433.png
    file_00000000b8ac820eb8b6b0eec98c6433.png
    2.1 MB · Views: 14
Back
Top Bottom