Makonda jiuzulu ulinde heshima yako

Makonda jiuzulu ulinde heshima yako

Mbele ya njaa hawezi jiuzulu am sure. Wanajizulu huko mambele watu wamexaliwa wakakuta baby ana hela hajazimaliza. Kidogo lowasa alikuwa tajiri alijizulu na rostam aliachana na siasa uchwara za kimasikini
Kwa huu mfumo wa kijinga hawezi kujihuzulu sababu anakula keki vizuri sn
 
Njaa haitajali alilind aheshima kajiuzulu itampiga tu. Wanaomtegemea nao wataishije kama akijiuzulu? Kwa kifupi ungekuwa ni wewe ungeacha kazi kisa boss wako hasikilizi ushauri wako?
 
ccM inataka wakurugenzi 'wauaji' hasas hasa kipindi hiki cha uchaguzi...there is no political solution kwa hawa jamaa, endeleeni kujidanganya kwa kupanga foleni kwenye masanduku ya kura
 
Stuka said:
Makonda jiuzulu ulinde heshima yako
Una wazimu, Makonda ana heshima gani ya kulinda?
Mpuuzi sana, Makonda na heshima ni kama maji na mafuta!
 
Kuna watu wamemkaanga Mama.Akifuta jina linaibuka.
 
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN

Yaani aachie ugali na ile machine ya Mjapani bado mpya,thubutu!
 
Huyu mwamba ndo alikuwa muuaji. Hana lol
Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi.

Jambo la kusikitisha sana tukio la mtanzania kupigwa mapanga 19 kule Nsimbo Mkoa wa Katavi ulimwambia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nsimbo anasubiri nini kuandika barua ya kujiuzulu kutokana na maagizo aliyotoa kupelekea wananchi kuuawa na kukatwa mapanga 19.

Nimeangalia Mkeka mpya wa MA DC na MA DED machozi yakanitoka kwamba yule DC wa Nsimbo hakutumbuliwa akaachwa hapo hapo na Mkurugenzi wa Nsibo badala ya kuwajibika amehamishiwa Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza wakati Makonda ulishauri ajiuzulu.

Nimeona nikushauri Makonda ujiuzulu nafasi yako kwani ziara yako haijazaa matunda na dhuluma ulizozikuta zinahama wilaya ya Nsimbo kuhamia Wilaya ya Magu.

View: https://youtu.be/5mrYXIpQfQ0?si=GS3I34ycAq8SJeMN
 
Sasa analinda heshima ipi🤷🤷🤷
 
Back
Top Bottom