Ongezea asali kwenye huu uzi wako...dizaini km uko full nondo ila mvivu kuandika! Utadhan mtu wa masomo ya sayansi bwanaNawafamu zaidi ya watu watano personally waliotajwa na makonda especialy wale wa international.huyu jamaa wala sio mtu mkubwa kwenye biashara ya unga.ni punda tu na mpambe wa kina omary sanga tena hana hata hela ya maaana,huyo omary sanga mwenyewe kashafilisika ndo wanamtaja.
Chidi mapenzi ni mshenzi mmoja ivi anapenda kuvaa kuliko kula.labda akatumike kusaidia polisi kuwataja maboss wake.kiboko last time nimemuona Sham shui po HK mwaka 2014 kama skosei.na ukikutana naye wala huwezi kudhani ni mafia.
Kwa kifupi makonda anadili na wauza unga wadogo na wale waliofilisika kama kina omary sanga na kina kanyau.Omary Sanga alikuwa ndo mpokeaji wa mizigo yote inayoingizwa china na mapunda na muuzaji kwa wanaijeria ambo ndio masaplaya wa unga rejareja china na nchi jirani.hivi sasa ameshafulia na sio major tena kama zamani.Huyu chidi mapenzi ni mishentauni mmoja ivi blazameni na mdananda kama kina petit.na hata petit akija china huwa pamoja naye.Ongezea asali kwenye huu uzi wako...dizaini km uko full nondo ila mvivu kuandika! Utadhan mtu wa masomo ya sayansi bwana
Nilijua tu mkuu una nondo za hatari... ni wachache wanaotambuaga watu wenye madini! Wazee wetu walitumia akili za kipelelezi na kiuchunguzi ili kujua mtoto yupi yuko smart na mwisho wa siki walipewa taarifa nyeti sana...Kwa kifupi makonda anadili na wauza unga wadogo na wale waliofilisika kama kina omary sanga na kina kanyau.Omary Sanga alikuwa ndo mpokeaji wa mizigo yote inayoingizwa china na mapunda na muuzaji kwa wanaijeria ambo ndio masaplaya wa unga rejareja china na nchi jirani.hivi sasa ameshafulia na sio major tena kama zamani.Huyu chidi mapenzi ni mishentauni mmoja ivi blazameni na mdananda kama kina petit.na hata petit akija china huwa pamoja naye.
China mainland na hong kong ndio soko kubwa la unga unaotoka bongo kwa miaka mingi hivyo hata mabosi wa unga huwa wanakuwa huku mara kwa mara .na uzuri wa huku unaweza ukawa hata mkuu wa nchi na ukaja ukakaa huku hata mwaka bila kujulika.kina chonji,shkuba,kiboko na kingpins wengine nimewajulia huku,uzuri wa huku hata akija waziri ama tajiri mkubwa mnakaa naye maskani mnapiga story,so unakutana na watu wengi wakubwa wa hadhi tafauti tafauti ambao usingeweza kukutana ama kukaa nao pamoja bongo.nitaendela.
Una vingi ila u mvivu kusema.... Jazia jaziaNawafamu zaidi ya watu watano personally waliotajwa na makonda especialy wale wa international.huyu jamaa wala sio mtu mkubwa kwenye biashara ya unga.ni punda tu na mpambe wa kina omary sanga tena hana hata hela ya maaana,huyo omary sanga mwenyewe kashafilisika ndo wanamtaja.
Chidi mapenzi ni mshenzi mmoja ivi anapenda kuvaa kuliko kula.labda akatumike kusaidia polisi kuwataja maboss wake.kiboko last time nimemuona Sham shui po HK mwaka 2014 kama skosei.na ukikutana naye wala huwezi kudhani ni mafia.
Shkuba ndo aliimbwa na FA ( hustler kama Ali Shkuba natimba kila kiwanja)Kwa kifupi makonda anadili na wauza unga wadogo na wale waliofilisika kama kina omary sanga na kina kanyau.Omary Sanga alikuwa ndo mpokeaji wa mizigo yote inayoingizwa china na mapunda na muuzaji kwa wanaijeria ambo ndio masaplaya wa unga rejareja china na nchi jirani.hivi sasa ameshafulia na sio major tena kama zamani.Huyu chidi mapenzi ni mishentauni mmoja ivi blazameni na mdananda kama kina petit.na hata petit akija china huwa pamoja naye.
China mainland na hong kong ndio soko kubwa la unga unaotoka bongo kwa miaka mingi hivyo hata mabosi wa unga huwa wanakuwa huku mara kwa mara .na uzuri wa huku unaweza ukawa hata mkuu wa nchi na ukaja ukakaa huku hata mwaka bila kujulika.kina chonji,shkuba,kiboko na kingpins wengine nimewajulia huku,uzuri wa huku hata akija waziri ama tajiri mkubwa mnakaa naye maskani mnapiga story,so unakutana na watu wengi wakubwa wa hadhi tafauti tafauti ambao usingeweza kukutana ama kukaa nao pamoja bongo.nitaendela.
Inaendela.kusema kweli Tanzaia tuko vizuri kwenye biashara ya madawa.na kama ingekuwa ni sekta inayotambuliwa na halali basi tungeongoza afrika nzima na tungekuwa na dangote wetu.Kwanza tanzania ni corridor/highway/njia panda ya mizigo ya unga wa aina zote kuanzia heroin(musharaf)kutoka pakistan,cocaine(pele)kutokea brazil,mandrax na meth.zile precursor chemicals alizotaja sianga kuwa zimeingizwa nchini ndizo hutumika kutengenezea meth.Sasa basi hii ni biashara kubwa sana.sisi tunapokea mizigo kutoka kila kona inakotengenezewa alafu sisi ndo tunaexport kuwapelekea consumers duniani kote.bei ya mfuko mmoja wa heroin (1kg)hapo bongo mpaka mwisho wa mwaka 2016 ilkuwa dola 9000 ila ukienda UK 0.1g inauzwa euro 10 kwahyo ukifanikiwa kupeleka mfuko mmoja unaweza kupata hadi dola 40000 kwa bei ya jumla. ni biashara yenye faida kubwa sana na wenye biashara hii wanapesa mingi na wengi hawafahamiki kabisa.Nilijua tu mkuu una nondo za hatari... ni wachache wanaotambuaga watu wenye madini! Wazee wetu walitumia akili za kipelelezi na kiuchunguzi ili kujua mtoto yupi yuko smart na mwisho wa siki walipewa taarifa nyeti sana...
Kama hutojali endelea kumimina hii asali juu ya mkate tumalizie kiporo.
Ila wana common factors nyingi tu!wote ni watanzania ,wanaishi dar, mmoja ni msanii na mwingine ana mahusiano na msanii,majina yao ya kupanga yanashabihiana,wote wanajihusisha na unga ilihali mmoja anatuhumiwa kuutumia na mwingine kuusambaza.Chid Benzi na Chid Mapenzi ni watu wawili tofauti!!!!
Titimunda kwa nn huko china mnachangamana na kila mtu yan mkubwa, kibosile, choka mbaya nk.Inaendela.kusema kweli Tanzaia tuko vizuri kwenye biashara ya madawa.na kama ingekuwa ni sekta inayotambuliwa na halali basi tungeongoza afrika nzima na tungekuwa na dangote wetu.Kwanza tanzania ni corridor/highway/njia panda ya mizigo ya unga wa aina zote kuanzia heroin(musharaf)kutoka pakistan,cocaine(pele)kutokea brazil,mandrax na meth.zile precursor chemicals alizotaja sianga kuwa zimeingizwa nchini ndizo hutumika kutengenezea meth.Sasa basi hii ni biashara kubwa sana.sisi tunapokea mizigo kutoka kila kona inakotengenezewa alafu sisi ndo tunaexport kuwapelekea consumers duniani kote.bei ya mfuko mmoja wa heroin (1kg)hapo bongo mpaka mwisho wa mwaka 2016 ilkuwa dola 9000 ila ukienda UK 0.1g inauzwa euro 10 kwahyo ukifanikiwa kupeleka mfuko mmoja unaweza kupata hadi dola 40000 kwa bei ya jumla. ni biashara yenye faida kubwa sana na wenye biashara hii wanapesa mingi na wengi hawafahamiki kabisa.
Ukijaziajazia sana unaweza jikuta umesema yasiyotakiwa kusemwa hadharani au ukaji expose identity yako.Una vingi ila u mvivu kusema.... Jazia jazia
Hahaaa kwa nini aisee? Itakuwa ww ni mtu wa kagera.Huyu Shamsa inaelekea anarusha maji
Haha mwangalie tu vizuri Shamsa kuna kitu utagundua ,hako kautamu anako aiseeHahaaa kwa nini aisee? Itakuwa ww ni mtu wa kagera.
Mkuu kwanini usimsaidie kamishna siang'a!?Ukijaziajazia sana unaweza jikuta umesema yasiyotakiwa kusemwa hadharani au ukaji expose identity yako.
Tanzania tukitaka tuidihibiti biashara ya unga kuna vitu viwili vya kufanya.
1.kuongeza ulinzi kwenye mipaka yetu na njia zote zinazotumika kuingiza na kutoa hii midude kwenda nje.imagine dar es salaam pekee ina bandari bubu 50,border za Tanzania ziko loose kuliko viungo vya siri vya kahaba,achana na bandari bubu tunayo hadi mipaka bubu.Mashine za kukagulia mizigo nazo mbovu sasa unategemea utadhibitije hii biashara.ndani ya wiki hizi mbili ambazo makonda kaunguruma unajua zishaingizwa kilo ngapi za unga na punda wangapi wamepakia ndege ktk airport zetu?.customs nako kumejaa rushwa.unaweza pitisha hata fuvu la binaadamu ukiwa na hongo stahili.
2.Kudhibiti pesa ya unga.Hakuna jambo gumu kwa drug dealers wa nchi zilizoendelea kama kutakatisha pesa zao za faida ya unga na kuziingiza kwenye system.lakini kibongobongo ni rahisi mno.kwa makadirio yangu kila siku guanghzou pekee inatakatisha si chini ya dola 50,000-100,000 za unga na kuziingiza kwenye system ya pesa bongo kiurahisi kabisa.kwa wale wakazi wa diaspora kuna kitu kinaitwa remittance hudama kama inayotolewa na western union na moneygram.sasa huku kuna western union za kienyeji.GSM wanahusika kiasi kikubwa na hili tena walivyomaradhuli wanatuchaji sisi katika kutakatisha fedha zao.
Bongo ni kawaida ya mtu kuwa na pesa isiyo na maelezo yaani mtu anabiashara ya milioni kumi lakini ana mali za milioni 500.na hua hakuna maswali.kwa wenzetu mali zako zinatakiwa kuendana na kipato chako kinachotambuliwa na serikali.
Kwahyo cha msingi ni kudhibiti tu pesa ya unga isiwe inamove freely kama ilivyo hivi sasa.kwa mfano ni ngumu kwa drug dealer wa colombia kuhamisha dola laki moja ya unga kutoka marekani kurudi nchini kwake kuliko dealer wa tanzania kuhamisha faida yake ya dola milioni kutoka china kuja dar es salaam.
Titimunda kwa nn huko china mnachangamana na kila mtu yan mkubwa, kibosile, choka mbaya nk.
Je ni kwa vile mpo wachache hivyo mtu.akijitenga anabak mwenyewe ama? Na kwa nn china ndio penye sheria ngumu dunian lakin still kila anaechipukia hizi dawa rpute zake zinakuwa za china....au huo userious wao wa kuwa smart ni ktk news tu za vyombo vya hbr
Kwani unadhani nayoyazungumza ni mapya wanayafahamu vizuri tena wanajua zaidi ya nisiyoyajua mimi.kwamfano mimi Ayubu kiboko sikuwa nikifahamu kuwa ni major drug dealer,nlikuwa napishana naye tu mitaani,wengi naowajua nimewajua sababu tu ya harakati za maisha sio kwamba ni rafiki zangu au na mimi na deal na hizo mambo,nakumbuka mara ya kwanza kuuona unga nlikuwa form 1 jamaa alinionyesha kakifuko kadogo kanailoni akanambia unaona hii,hii nizaidi ya milioni mbili nkabaki kushangaa vipi ungaunga kiasi kidogo namna ile una bei kubwa namna ile.Mkuu kwanini usimsaidie kamishna siang'a!?
Huyo jamaa unaambiwa ana nyumba mpaka india na ulaya seuze daladalaNa kuna huyu mwingene aliyetajwa na Makonda kuacha ChidinMapenzi,huyu jamaa hela za Unga kanunulia daladala nyingi za Mwananyamala -Buguruni,wakimkuta na hatia hizo gari wazitaifishe