Makonda alibeba machawa ya serikali kwa jina jingine yanaitwa
Simba & yanga influencers hadi Morocco kuishangilia Serengeti stars.
Tukapigwa na senegal.
Kabla ya mechi akasema "Rais Dkt Samia ameelekeza timu hii isivunjwe ikae kambini hadi kwaajiri ya kombe la dunia 2030.....πππ
Alipofungwa tu akasema
"Hatahivyo niliota kwenye ndege tutafungwa na senegal "