Hii inchi bana mihela inagawiwa kama embe
Angalia post 13BASHITE alisema amekunwa sana na kiwango cha Manula, ukikunwa lazima upagawe, hadi unashindwa kutofautisha. Shughuli za kiserikali ni zipi na shughuli binafsi ni zipi na zifanyikie wapi.
Sky Eclat hebu Naomba ile Picha ya kaka mkunaji akikiangalia kifuu chake kwa jicho la matamanio.
Edwin Semzaba alisema, PENZI NI KITOVU CHA UZEMBE
Amemshika pabayaMakonda mpaka aje amtukane Magufuli mwenyewe labda ndio hatua zitachukuliwa. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka
Sio hiyo bhanaaaaa ile nyingine ya uwanjani, jicho liko kwenye Neema za AllahAngalia post 13
Mbona zippo zoteSio hiyo bhanaaaaa ile nyingine ya uwanjani, jicho liko kwenye Neema za Allah
Sio hiyo bhanaaaaa ile nyingine ya uwanjani, jicho liko kwenye Neema za Allah
Mkuu alisema Aishi amemkuna ndiyo maana amemtunuku mamilioniHiyo picha ya kwanza mbona huyo jamaa kakodolea macho kishundu cha bashite ?