Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Leo RC katimiza ahadi yake. Kuwapa fedha wachezaji was Simba waliofanya vizuri ikiwa ni pamoja na kumpa Manula 10M.
Niweke wazi sina tatizo na moyo wake kuwazawadia wana Simba wenzake.
Naamini ni fedha zake binafsi. Kapata wapi, hainihusu.
Naona tatizo moja tu. Kutumia ofisi ya umna kwa shughuli zake binafsi. Wangeenda hotelini wakapeana huko. Ofisini inaleta picha ya function ya serikali. Utashi wake kuwapa zawadi wachezaji haiwezi kuwa function ya serikali. Ingekuwa Taifa Stars, inaleta maana.
Bungeni sina shida wanaweza kwenda kama wageni was mbunge yeyote wakakaa sehemu ya wageni kule juu.