Makonda kutoa fedha ofisi ya serikali

Makonda kutoa fedha ofisi ya serikali

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Leo RC katimiza ahadi yake. Kuwapa fedha wachezaji was Simba waliofanya vizuri ikiwa ni pamoja na kumpa Manula 10M.

Niweke wazi sina tatizo na moyo wake kuwazawadia wana Simba wenzake.

Naamini ni fedha zake binafsi. Kapata wapi, hainihusu.

Naona tatizo moja tu. Kutumia ofisi ya umna kwa shughuli zake binafsi. Wangeenda hotelini wakapeana huko. Ofisini inaleta picha ya function ya serikali. Utashi wake kuwapa zawadi wachezaji haiwezi kuwa function ya serikali. Ingekuwa Taifa Stars, inaleta maana.
Bungeni sina shida wanaweza kwenda kama wageni was mbunge yeyote wakakaa sehemu ya wageni kule juu.
 
Msimpangie RC cha kufanya, punguzeni wivu wa kike pia
 
Kuna siri nzito ambayo jamaa kamshika pabaya mkuu wa nchi kwahyo anafanya atakavyo popote na yeye ndo waziri wa michezo ajae
 
Kwani zile mil 10 kwa kila mchezaji wa Stars kazitoa?
 
1117140

1117137
 
BASHITE alisema amekunwa sana na kiwango cha Manula, ukikunwa lazima upagawe, hadi unashindwa kutofautisha. Shughuli za kiserikali ni zipi na shughuli binafsi ni zipi na zifanyikie wapi.
Sky Eclat hebu Naomba ile Picha ya kaka mkunaji akikiangalia kifuu chake kwa jicho la matamanio.
Edwin Semzaba alisema, PENZI NI KITOVU CHA UZEMBE
 
Angalia post 13
 
Back
Top Bottom