Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi.
Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa kuliko taasisi yao, wanaweza kumshusha kwa matamshi yake ya hivi karibuni akiwa na Mwamposa ambayo yanaonekana yalililenga kanisa Katoliki moja kwa moja.