Makonda kuwapatanisha Alikiba na Diamond, mbona ulishindwa patana na Ruge?

Makonda kuwapatanisha Alikiba na Diamond, mbona ulishindwa patana na Ruge?

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
Makonda ameandika ujumbe wa kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond. Kama mkubwa na mlezi wa mkoa hana budi kufanya vile, lakini mbona yeye na Ruge alisubiri mpaka Rais awapatanishe?

 
Siyo kila anachokifanya ni dhambi, mbona kafanya jambo jema sana; mimi hapa ni mpatanishi, lakini na mm hupatanishwa.
 
Ndio tatizo la watt wa watu jamani muacheni tu...
7b1235fb59bb7581964fc07d3218c3ec.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom