Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
Makonda ameandika ujumbe wa kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond. Kama mkubwa na mlezi wa mkoa hana budi kufanya vile, lakini mbona yeye na Ruge alisubiri mpaka Rais awapatanishe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kwamba huyu jamaa mambo mengi anayofanya hufanya kwaajili ya kutafuta sifa.Siyo kila anachokifanya ni dhambi, mbona kafanya jambo jema sana; mimi hapa ni mpatanishi, lakini na mm hupatanishwa.
Tatizo ni kwamba huyu jamaa mambo mengi anayofanya hufanya kwaajili ya kutafuta sifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ameandika ujumbe
Wa kuwapatanisha Ali kiba Na diamond , kama Mkubwa Na mlezi wa mkoa Hana budi kufanya vile, lakin mbona yeye alisubiri mpaka Rais awapatanishe?