RC Makonda wa Arusha mafuriko yaliyotokea Arusha mjini hayajawahi kutokea siku za karibuni au pengine hayajawahi kutokea kabisa katika historia ya mji wa Arusha.
Jiji la Arusha lina changamoto nyingi na zinahitaji utendaji uliotukuka. Siasa za viongozi wetu zimekuwa zikituumiza kwani hazizai matunda na hazilengi kuondokana na matatizo ya watu.
Tunajua kuwa uwezo wa RC Makonda ni ku-dili zaidi na watu kuliko kudili na changamoto za watu. Sasa sisi watu wa Arusha tunapenda zaidi viongozi wenye kufuatilia zaidi matatizo ya watu kuliko kufuatilia watu.
RC Makonda tutakupima kwa namna unavyotatua matatizo ya watu wa Arusha na sio kwa namna unavyolumbana na viongozi walioko chini yako, kwani malumbano kila mtu anaweza, tunataka actions kwa changamoto za Arusha na sio siasa za kujisifu.