tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Jimbo la Arusha mjini Paul Makonda akiwa Mkoani mara kumuombea kura mgombea wa Chama hicho nafasi ya urais Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kukataa kuungana na wanaosema hawatopiga kura na wakiwaambia na wao wasiende kupiga kura wawajibu "Mara sio ya mauaji, sio ya kukatana Mapanga, tutaenda kupiga kura kwasababu tumechagua maendeleo" Mkutano huo umefanyika siku ya jana Oktoba 9, 2025
Soma pia: Makonda sio mwenyeji wa Arusha, ubunge anatafuta 'ulaji' na sio service
Soma pia: Makonda sio mwenyeji wa Arusha, ubunge anatafuta 'ulaji' na sio service