data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Matackle yenuu!!!💩💩💩💩Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.
Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?
Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.
Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.
Makonda oyeeeeeeeeeee