ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Kwa hiyo ipo siku tutashuhudia General wa kikosi mojawapo mpakani akihojiwa na Mwenezi kuhusu hali ya usalama mpakani??CCM=Serikali, na kila mtumishi anawajibika kwa CCM.
KUMBE HATA MATATIZO YA SUKARI UMEME MWENDOKASI MIGOGORO YA ARDHI NA AJIRA ATAYAMALIZA
Ni kweli, kwa umati uliojitokeza Kahama kuja kumlaki, Mwenezi Paul Makonda, mimi mpaka nimeogopa!, amepokelewa kama ile siku Masiha alivyopokelewa anaingia Jerusalem, halafu siku chache baadaye ndio ilawa vile!.
Tumekuelewa wachache SanaNi kweli, kwa umati uliojitokeza Kahama kuja kumiliki, mimi mpaka nimeovopa!, amepolelewa kama Masiha alivyopokelewa ile siku anaingia Jerusalem, halafu siku chache baadaye ndio ilawa vile!.
P
Umati ambao unaamini kwamba Paul Makonda atautatulia shida na kero zinazowakabili ambazo zimeshindikana kutatuliwa kwa muda mrefu.
NCHI HII HAISHEMU KATIBA WALA SHERIA ZA UTUMISHI KUNA SIKU MAKONDA ATAMFUKUZA KAZI WAZIRI MKUU
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Waswahili wanasema ukishaanza kula nyama ya binadamu uwezi kuiacha.Paul Makonda ni Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Bila kuathiri Muundo wa Utumishi Serikalini, yeye Makonda ni Kiongozi wa Chama Cha Siasa Kama ilivyo kwa Chadema...
Huu ndo uhalisia kwa sasa, ijapokuwa sio sahihi kuwa hivyoCCM=Serikali, na kila mtumishi anawajibika kwa CCM.
Huu ndo uhalisia kwa sasa, ijapokuwa sio sahihi kuwa hivyo
NCHI HII HAISHEMU KATIBA WALA SHERIA ZA UTUMISHI KUNA SIKU MAKONDA ATAMFUKUZA KAZI WAZIRI MKUU
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Wao wamelala Acha kijana ajitutumueNa wizara ya utawala bora ipo inashuhudia mwanasiasa Makonda anakiuka sheria
Ukweli ni kwamba, wananchi wana shida na matatizo mengi yanayohitaji utatuzi. Na wanaamini kwamba serikali ina nafasi kubwa na muhimu ktk kutatua shida zao. Kinachohitajika ni kiongozi atakayewasikiliza shida zao, na wakamwamini kuwa ana nia nzuri ya kutaka kuwaondolea matatizo yao. Kuna viongozi wameshajiondoa kwenye kundi la kuaminiwa, ndiyo maana wakienda kwa wananchi hawapati mtu.Ni kweli, kwa umati uliojitokeza Kahama kuja kumiliki, mimi mpaka nimeovopa!, amepolelewa kama Masiha alivyopokelewa ile siku anaingia Jerusalem, halafu siku chache baadaye ndio ilawa vile!.