Makonda na Mafwele nawashauri kwenda USA mkajifunze namna bora ya kusimamia matukio makubwa ya kimichezo

Makonda na Mafwele nawashauri kwenda USA mkajifunze namna bora ya kusimamia matukio makubwa ya kimichezo

ISOSTACY

Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
91
Reaction score
202
Makonda na Mafwele ni viongozi katika taifa letu na wana wajibu mkubwa wa kusaidia mashindano ya afcon 2027 yanafanyika kwa kiwango kikubwa na ufanisi.

Hivyo kwa nafasi zao nawashauri kwa nia njema kabisa waende USA kupata uzoefu wa kusimamia matukio makubwa ya kimichezo

Ikumbukwe USA wana uzoefu mkubwa sana.
 
Huwatakii mema? Kule wakitia tu pua ni korokoroni moja kwa moja
USA ni wazoefu wa kuandaa matukio ya kimichezo,kumbuka world cup pia IPO mwaka huu.hivyo kwenda kupata uzoefu ni jambo jema.wasiwasi wako upo wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom