Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya
Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda
Na hili kuidhihirishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujua madhara yake, ni vema sasa wakalejea kwenye siasa
Naamini wanayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa pia wana nafasi ya kuendelea kulitumikia taifa lao bila shaka wanaweza kuwa viongozi makini kutokana na waliyoyapitia
Naamini jukwaa sahihi kwao la kuwasogeza tena kwenye siasa za ushindani ni CHADEMA