Akabi kemanya
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 226
- 346
Kama bandiko linavyo jieleza, leo hii kwakuwa mahakama imemuachia huru sabaya
Bilashaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kuludi kwenye jukwaa la siasa yeye sabaya na makonda
Nahili kuidhihilishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujuwa madhara yake, nive sasa wakalejea kwenye siasa
Naamini wanayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa pia wana nafasi ya kuendelea kulitumikia taifa lao bilashaka wanaweza kuwa viongozi makini kutokana na waliyo yapitia
Naamini jukwaa sahihi kwao la kuwasogeza tena kwenye siasa za ushindani ni chadema
Nani mtoa Rukusa hiyo🤔Ngoja kwanza wale wazee watatu waondoke , wale vijana wao ni weupe sana , sa hv wakianza watawafanyia umafiaView attachment 2577563
hujui kuandika wala unachoandika...poleKama bandiko linavyo jieleza, leo hii kwakuwa mahakama imemuachia huru sabaya
Bilashaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kuludi kwenye jukwaa la siasa yeye sabaya na makonda
Nahili kuidhihilishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujuwa madhara yake, nive sasa wakalejea kwenye siasa
Naamini wanayo haki ya kuchagua na kuchaguliwa pia wana nafasi ya kuendelea kulitumikia taifa lao bilashaka wanaweza kuwa viongozi makini kutokana na waliyo yapitia
Naamini jukwaa sahihi kwao la kuwasogeza tena kwenye siasa za ushindani ni chadema
Povu la nini sasa😵😵😵hujui kuandika wala unachoandika...pole
ni chama cha nyumbani kwenuKwani chadema ni chama cha upinzani🤣
Kakiri makosa yake anatumikia kifungo cha nje...ivyo atulie tu Kwa mdaSabaya ni vema apumzike siasa kwa muda
Na arekebishe mwenendo wake, Awe BINADAMU sio MTU..Kakiri makosa yake anatumikia kifungo cha nje...ivyo atulie tu Kwa mda
Hawa watu ni takataka za kisiasa nashauri zichomwe moto na kamwe Chadema msiokote taka hizi!Kama bandiko linavyo jieleza, leo hii kwakuwa mahakama imemuachia huru sabaya