Makonda na sakata la Jezi: Mgongano wa Maslahi?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile.
Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake
Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake
Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa Habari na Michezo 2023, naye ana lake.

Cha kushangaza ni kwa nini sakata jhili liko mbele ya umma sasa hivi na kwa nini limejitokeza.
Ndumbaro anasema walisha bariki mkataba na una maufaa kwa Taifa na TFF toka mwaka 2023.

Msingi wa mzozo ni biashara ya Sandaland , kwani wao walishaingia mkataba muda mrefu tu na TFF, kitu ambacho Makonda kakikuta lakini hapendelei hao Sandaland waendelee na Mkataba.
Makonda ameenda mabali zaidi kuwataka Baraza la Michezo BMT, na TFF ikiwezekana kuvunja Mkataba huo wa Sandaland.

Hapo ndio najiuliza, kuna nini nyuma ya huu mzozo, ni jezi tu?
 
ok.🐒
 
Back
Top Bottom