GE2025 Makonda: Naenda kuwa Mbunge wa International, Arusha ndiyo Jimbo la Wajanja

GE2025 Makonda: Naenda kuwa Mbunge wa International, Arusha ndiyo Jimbo la Wajanja

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, ameeleza jinsi atakavyokuwa mbunge wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa atawakilisha jimbo ambalo ni makao makuu ya Afrika Mashariki na lenye shughuli nyingi za utalii

Kauli hiyo imetolewa Septemba 30, 2025, Jijini Arusha, wakati wa shamrashamra na maandalizi ya kumpokea mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili mkoani Leo , Oktoba 1, 2025, na kufanya mkutano wa hadhara Oktoba 2, 2025


 
We shukuru Mungu chadema hawajashiriki uchafuzi mkuu, hilo tuu!.
Kamwe asingepewa ubunge wa A town mtu wa kuja...weka akilini hilo acha kujidanganya na mtrako wako mkubwa!!.
 
Nikikumbuka😭😭😭
1759286383083.jpg
 
Back
Top Bottom