Makonda nakuamini, usirudi nyuma

Makonda nakuamini, usirudi nyuma

Angekuwa strong.

Angetoka na kupresent certificates zake ili kuzima allegations za kuwa na zero form 4.

Baba yake kafukuza watu kibao ila yeye hakuguswa, kiongozi asiye na integrity hawezi kuwa strong ni kujidanganya.
 
Huyo Makonda unayemuita kuwa ni strong ndiye aliyekuwa ana mfagilia rais wa sasa katika ziara zake zote alizofanya na kumuwekea mazingira mazuri ya kushinda urais kwa siku zijazo.

Hata hivyo katika hili la udhaifu huwezi ukamtoa Magufuli kwa kuwa yeye ndiye aliyetufikisha mahali hapa kwa kumteua kama mgombea mwenza na kuufanya upande mmoja kutoa marais wawili kwa wakati mmoja.
 
Back
Top Bottom