Makonda naongea mara ya mwisho, wadhibiti hawa mapema kabla sijawadhibiti mimi

Makonda naongea mara ya mwisho, wadhibiti hawa mapema kabla sijawadhibiti mimi

hahahaha sasa kama watu hawana ajira unadhani watafikiria nini zaid ya kucheza rede na dada zao???
hahahha afu wenyewe wameridhika kabisa yani
 
Duh! Kweli wanaume sasa tumefikia levele ya ajabu, bado kidogo tutaka nasi tushike mimba na kuzaa! Lazima mababu zetu wanafurukuta makaburini...
Inasikitisha sana..Lakini tusishangae, tumesoma humu ndani jinsi wanaume wasivyo na misimamo, kulia lia kisa demu katiwa nje, mke kuzileta zile za jeuri na dharau lakini lidume badala ya kumshikisha adabu huyo mama, laja humu lipate symphathy!
Ni disaster..
 
Back
Top Bottom