Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

Makonda ni ingizo jipya la kutuondoa kwenye hoja ya Bandari na Katiba mpya

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Uteuzi wa Paul Makonda au ukipenda Bashite ni mkakati wa kutuondoa kwenye hoja za msingi kama Katiba Mpya na Bsndari.

Tangu ateuliwe amekuwa mtu wa kuropoka ropoka mkakati ukiwa kutuondoa kujadili masuala ya maana na kuanza kujadili upuuzi wake.

Inavyoelekea baadhi ya Watanganyika wasiopenda kufikiri vizuri wamejikuta wakitumia muda mwingi zaidi kujadili ujinga na upuuzi wa mpuuzi Bashite.
 
Hata wewe umeujadili mpaka ukaanzisha na uzi..unataka wenzio wasijadili!

Ni upuuzi kujadili mambo ya kipuuzi ukishagundua ni upuuzi unaacha Ili usiwe mpuuzi.

Mimi naacha!
 
Wamefanikiwa..
Hata kupanda kwa bidhaa, mafuta na huduma kama nauli tumeridhia!
 
Makonda ni dstractor ya makusudi kabisa. Na Sasa wanafufua kesi ya Sabaya. Wakiona CD ya Makonda imecja watamfunga Sabaya
 
Back
Top Bottom