Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Wote hap no batiliNi kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Unashangaa nini sasa?
Nashaanga wewe kujiita loose Nut (Nati ilyoregea ambayo inaitaji kukazwa)Unashangaa nini sasa?
Wanawaza ugomvi muda wote.Bavicha mnawaza fitina tu
Kwenye ile Wizara wamepiga Pesa kutoka chanzo kipi Mkuu?Mwana FA na Mchengerwa walipiga hela ndefu sana hapo wizarani. Unaambiwa kwake mwanfa utadhani yard ya magari. Kuna rangerovers autobiography 2025, Toyota prado 2025, wagon 2025, Ferrari siyo hizo tu apartments za kutosha Dubei.
King Kong III RRONDO
adriz de mbusii
Ujenzi wa viwanja vya michezo na ukarabati.Kwenye ile Wizara wamepiga Pesa kutoka chanzo kipi Mkuu?
Roho mbaya za wabongo matatizo sana.Kwenye ile Wizara wamepiga Pesa kutoka chanzo kipi Mkuu?
Hakuna roho mbaya kuanika maovu kwenye wizi wa pesa za walipa kodi. Nyie mnaowatetea ndo mna roho mbaya.Roho mbaya za wabongo matatizo sana.
Wote ni sawa tu waliosoma na ambao hajasoma. Wote ni vilaza kwaanzia juu hadi chini.Bashite hajasoma, FA kasoma shule, lazima wazinguane. Shida Bashite mazuri waga ni yake tuu,, mabaya ya wenzake....
Unaweza kuweka ushahidi wa huo wizi au ni maneno ya vijiweni?. Ukishindwa kuthibitisha wizi hiyo inakuwa roho mbaya yenyewe.Hakuna roho mbaya kuanika maovu kwenye wizi wa pesa za walipa kodi. Nyie mnaowatetea ndo mna roho mbaya.
Najua nachosema. Mimi niko kitengoni tena jikoni yote yanayoendelea nchini nayafahamu na kuwa briefed kila siku.Unaweza kuweka ushahidi wa huo wizi au ni maneno ya vijiweni. Ukishindwa kuthibitisha wizi hiyo inakuwa roho mbaya yenyewe.
Kutaka kuchafua jina la mtu fulani pengine kwa sababu unamchukia huyo mtu.