Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Wanaotengeneza chuki na fitina mpaka tunaanza kuuana walisema maneno haya haya kwamba wana uhakika na kile wanachokisema.Najua nachosema. Mimi niko kitengoni tena jikoni yote yanayoendelea nchini nayafahamu na kuwa briefed kila siku.
Mbona tumeambiwa anaenda maliasili? Au kibao kimegeuka? Sasa nani ana msuli wa kuwalinda wawekezaji toka dubei?Bashite yupo hapo kwa ajili ya afcon tu ikipita anapelekwa waziri wa mambo Ya ndani
Wote wapumbavu.Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
AiseeNashaanga wewe kujiita loose Nut (Nati ilyoregea ambayo inaitaji kukazwa)
Mmmhh ?????Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.
Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1. Tuhuma za jina DAB
2. Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3. Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4. Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5. Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.
Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
ChaiAisee
Uwanja wa taifa.Kwenye ile Wizara wamepiga Pesa kutoka chanzo kipi Mkuu?
Loose nut = Loose RindaHahahahahaaaaa wazee wa siku hizi hovyo kabisa
Acheni majungu,yaani unataka waziri na naibu waziri waambatane kila waendapo, waziri gani anafanya hivyo?Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
Tulia weweeAcheni majungu,yaani unataka waziri na naibu waziri waambatane kila waendapo, waziri gani anafanya hivyo?
ngozi nyeusi imekaa kibinafsi sana...mi natamani tungekuwa bado tunatawaliwa na wazunguMwana FA na Mchengerwa walipiga hela ndefu sana hapo wizarani. Unaambiwa kwake mwanfa utadhani yard ya magari. Kuna rangerovers autobiography 2025, Toyota prado 2025, wagon 2025, Ferrari siyo hizo tu apartments za kutosha Dubei.
King Kong III RRONDO
adriz de mbusii
Na nati kukazwa kwa spana ndiyo muongelee.Nashaanga wewe kujiita loose Nut (Nati ilyoregea ambayo inaitaji kukazwa)
Watu wanaanzishaga habari za kicengecenge tu, yaani waziri wa elimu kila aendapo awe na naibu waziri wa elimu!?Tulia wewee
Huwezi kuwa mwandishi mkweli na wa haki ilihali ni kada mtiifu wa chama tawala. Stories zako siku zote zitakuwa biased. Sekta yenu imejaa vituko tuHebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.
Mwana FA atulie too, Konda Boy hapo yupo kwa mpito tuu, alipoteuliwa tuu, niliwauliza waandishi wenzangu
Kwa vile jinai hainaga ukomo,na msingi mkuu wa tasnia yetu is to tell nothing but the truth,baada ya Mhe. PCM kuteuliwa kuwa waziri wetu,na kwasababu ana tuhuma 5 za kijinai,none was ever investigated,Je tumpokee kwa kumfanyia hizi IJ
1. Tuhuma za jina DAB
2. Tuhuma za kuhonga waandishi wa Cloud TV to concoct sex scandal kumchafua Askofu alietoa tuhuma za DAB
3. Baada ya Ruge kuzuia hiyo movie isirushwe alivamia Clouds to recover his movie
4. Anadaiwa kupanga na kusimamia utekelezaji wa pyu pyu za TAL pale Dodoma
5. Anatuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu hivyo amezuiliwa kuingia US.
Media tuna wajibu kumsafisha, au kwa vile sasa ni waziri wetu, tufumbe macho, tuendelee naye as if nothing happened because he is now our boss and the boss is always right?.
Sikumbuki nilijibiwa nini, ila... Kiukweli kabisa bado tuna media oga, baadhi ya waandishi waoga, na baadhi ya Wahariri waoga kama kunguru!. Kama media ya Tanzania hatutaacha uoga, tukasimama na ukweli na ethics, tukaanza calling a spade a spade, our media will never be the fourth estate!
P
Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye waziri na katibu mkuu wake, Naibu anaachiwa akutane na watu wa Cosota 😂
Uzuri hata mkubwa wao analijua hilo na akawachimba biti ila sasa ndio Makonda akiamua jambo lake ni kama hakuna wa kumzuia.
Anyway, ugomvi wa ndugu sio wa kuingilia.
30billion benjamin mkapaUjenzi wa viwanja vya michezo na ukarabati.
Leo uliyemnadi kama mpakwa mafuta unamuanika hivi jamvini...Hebu tuacheni hizi sarakasi za uchonhanishi kuwajengea bifu, waziri na naiba wake, japo ni kweli ikitokea mtu una akili kubwa kama mwana FA, ukaletewa akili ndogo kuwa bosi wako, lazima tuu uwe mdogo ili bosi asijione unamdharau, siku zote NW anasaidia pale Waziri hayupo, hawawi pamoja kama rais na makamo.