Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

Nchi ikikosa muongozo wa katiba na sheria huwezi kuwa umenyooka. You gonna die easily!
 

Achana na media ya kinafiki kwanza ishakufa inasubiri kuzikwa tu, kizazi cha leo kina media on fingertips hakisubiri habari za kichawa kutoka kwa balile na genge lake eti ndio iwe informed! Ishapitwa na wakati hiyo era, hatuhitaji wachambuzi wala wahandisi wa habari tunachambua wenyewe, watafute kazi ya kufanya au wasubiri Bashite awatume ili wapate choo or perish!

Taaluma hii ishakufa kibongobongo period
 
Makonda na Gambo ni aina ya watu ambao hawafai hata kidogo kufanya nao kazi. They’re petty tyrants, na fitina kwao siyo mwiko!
 
Mwana FA ni mtu wa ndumba Sana lazima atamwendea kwa wazee kule Tanga wafanye kitu.
Konda Boy ni mpakwa mafuta wa Bwana, hizo ndumba zitadunda, ila sio kila mtu wa Tanga ni mtu wa ndumba, Mwana FA ni mtoto wa kishua, mtoto wa maeneo ya kishua Upanga ndumba na Upanga wapi na wapi?.

Tanga wa ndumbanangae ni wale wa kobaz na vibalaghashia!.
P
 
Sina shida na mwana naweza kucheza hii michezo ya chuki kwa ustad kimya kimya kama sio yeye nikikumbuka beef lake na diamond lilikua zito lakin mpka naapata uwazit hakuwai kutaka kumlambisha mtu lami kitumbo waz sio mtu wa majivuno il makonda atatoka nje ya bit tu shule hamna pale atajichanganya padogo tu na atajikuta anatamka bwana yesu asifiwe akiwa kwenye kipaza cha msikitini ama ataropoka takbir.... akiwa kwenye madhabau ya pentekoste makonda na maboko ni dam dam
 
Bashite ni zee la misifa, kila linapokanyaga linataka lionekane lenyewe tu - fitna nyingii, majungu kibao - kumbukeni lilivyomchongea yule Mzee wa NSSF hadi akaaga Dunia kwa presha maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…