Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Bashite katika ufala wake tena🚮🚮🚮🚮Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
🚮🚮🚮🚮🚮Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?
================
Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema katika kusherehesha shamrashamra za mkesha wa mwaka mpya atamleta muigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger jjini Arusha.
Makonda ameyasema hayo akizungumza katika mkutano wa kampeni leo ljumaa Septemba 19, 2025 alipotembelea soko la Samunge kuzungumza na wafanya biashara.
View attachment 3476052
Tatizo ni la hao wanaomsikiliza kwasababu hapo jamaa anaona ni kama anaongea na wadudu pamoja na wazazi wao. Sasa mdudu atamfanya nini binadamu? Arusha ishakua ya hovyo sana aiseeh 🤔Ni rahisi kumtoa msukuma usukumani ila ni vigumu sana kuutoa usukuma kichwani mwake.
Ndiyo mwisho wa akili yake hapo.Hivi hawa viongozi wanatuonaje kwa mfano. Na hao wananchi wako tu hapo wanasikiliza na kupigia ujinga makofi. Ni kwamba kero zote Arusha zimetatuliwa au?