GE2025 Makonda: Nikishinda Ubunge nitamleta Schwarzenegger mwaka mpya Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanasemaga Makonda ni mbunifu ndo ubunifu wenyewe huo
 
Leo kaibukia ukumbi wa Safina Mbauda
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Anataka ashinde mara ngapi?
 
Aisee ! Ndiyo maana mwanangu aliniuliza swali tata kabisa , eti baba hivi ni Kwanini jua linatoka mchana wakati usiku ndiyo Kuna giza.. nafungua JF nakutana na nyingine . Kwa sasa Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake
Hatari na nusu
 
Imenifikirisha kwakweli.... πŸ˜€πŸ˜€
 
Legend Anold akija ataleta chakula na ajira na kujenga stand ya mabas Arusha.

Huu ni mwendelezo wa zarau za walamba asali kwa wananchi

kmmke bashite.
Bashite hana vyetii πŸ˜‚ πŸ˜† in GWAJIMA voice.

Ivii kwanini watu wa Arusha WAKUBALIII kuongozwa na makonda ivii issue ya vyetii vya mchongo ili ISHIAGA WAPI

JE ? Kughushi vyeti / kununua cheti cha form four na kuendelea navyo kielimu I mean elimu ya juu
 
Huyu mjinga anafikiri bado tupo kwenye miaka ya 80's
Kwahiyo Arnold ataleta chakula mezani ? Au watu wa Arusha umeshawaona ni WAJINGA?
 
Kwa Swaziniga(kama alivyoitamka) ndiyo moja ya vipaumbele vya wapiga kura wa Arusha?
 
shoziniga wa n.y.o.k.o
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ gentleman Tlaatlaah hizi ndo akili zilizojaa hapo lumumba
gentleman,
inaonekana ulichapwa sana na wazazi kwasababu ya kutoroka home kinyemela usiku na kwenda kutazama video kali sana ya Anold Schwarzenegger, kwenye kibanda umiza au miongoni mwa madarasa ya shule ya msingi.

kweli si kweli?

​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…