Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Itakuwa hana cheti ata kimoja angekwishaleta hapa
 
hivi kwa kelele kama hizi hawezi kufanya mpango wakamtengenezea cheti chaukweli na wakamuita yule jamaa wa tabora wakakaa nae chini wakaua hili soo ili kuziba madudu yaliyofanywa na system
najaribu tu kuwaza kwa sauti.

Tatizo inawezekana kuna ushahidi wa vyeti vingine kama vile cha kuzaliwa, kubatizwa nk ambavyo havipo katika jina hilo la makonda
 
Tatizo inawezekana kuna ushahidi wa vyeti vingine kama vile cha kuzaliwa, kubatizwa nk ambavyo havipo katika jina hilo la makonda
Ina maana inawezekana makonda akawa si makonda ameidanganya system?
 
hii nchi ni ngum kwa kwel, yan pamoja navtuhuma zote hz zinazomkabili DAUDI lakin no 1 kakausha tu hata kutoa maamuzi hatoi kwel nimeamin DAUDI kiboko
 
Huyu daud bashite atatoka tu kwenye hilo shimo maana sasa mafua ya taa yamemwagwa. Sizonje atashindwa kuilinda kenge
 
Makonda mbona kwa hili anachelewa kuwaita waandishi wa habari jamani
 
Who are you?
 
KWA ZILE DUA ALIZOPATA KUTOKA MASHEKHE WENGI VILE, NAAMINI HAKUNA KIBAYA KITACHOTEKEA JUU YAKE! KAMA ATCHUKULIWA HATU, KAMWE SITAAMINI TENA DUA ZA VIONGOZI WA DINI!
 
Hakuna uwongo utakaogeuka kweli labda dunia iwe na maji tuu
 
Yeye ni mtu mzito, anashindwaje kwenda kurob wizarani akapata original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…