Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

Kumekucha ingawaje mengine yanahitaji ufafanuzi!!
 
Ukiona adui yako anatoa milio nahuku akitafuta kila njia ya kujitetea ujue umempiga vibaya go Bashite go....mpaka wanyooshe mikono juu
 
Nakuomba sana ili hawa wauza unga ili waaibike onesha adharani vyeti vyako feki au wafungulie mashtaka kwa kukudhalilisha....Fanya hivyo kupunguza kelele ili uendelee kupambana na wauza unga....
Ukishindwa kufanya hivyo nenda kwa siri waombe msamaha watu hawa
1. Gwajima
2. Manji
3. Mbowe
4. Wema
5. Warioba
6. Lowasa
7. Kasimu Majariwa
8. Bunge


Ukishindwa kufanya hivyo andika barua jiuzuru ukuu wa mkoa nenda kijijini kalima au kasimamie biashara zako...achana na siasa..
Mbona umeamua kumpa Makonda kitanzi kikali hivi [emoji2]
 
Huyu Makonda Bashite Kagenzi ni kanjanja
Kwa mbwembwe zake saa hizi angeshamaliza ubishi long time ago
Naamini kuna ukweli ndani ya hili
 
Yani huyu Mako anawalaza macho Sana. Halafu watu wamechukua uongo wa bipolar Mange na kugeuza mada[emoji23][emoji23] Yule ana stress za talaka kila mwenye mafanikio ni adui yake. Poleni Sana awadhibitishie nyie nani?? Subiri aliyemuajiri aombe adhibitishe tofauti na hapo endeleeni tu kupiga makelele.[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu Molembe hawezi kuweka vyeti alivyopata ZERO ya uhakika. Angekuwa navyo asingekaa muda wote huu bila ya kuviweka vyeti hivyo hadharani.

I very much believe kiongozi mwenye nafasi kubwa ya kazi za Mungu kama Askofu Gwajjima hasemi uongo, kuna ukweli ndani na kwa sababu mkuu alijiunga na (University)chuo kwa vyeti feki hata shahada sasa hana, yaani chuo kinaiondoa kisheria -- withdraw and recover the earlier award degree certificate!
 
Subirini nimwombe mchungaji wa kanisa lile ambaye amedai kijiji alichosoma Hutu bwana ndiko alikozaliwa na ana nakala za vyeti vyake vyote atuwekee hapa tuone.
Haya mchungaji mtuhumiwa uliyedai unavyo vyeti vya mtuhumiwa tuwekee kopi zake hapa tunaomba.
Kwa maneno yako mchungaji umedai kuwafahamu wote waliomsaidia kwa majina kuthibitisha unachokiamini. Usikae navyo bali tuwekee humu nasi tuvichunguze kuisaidia nchi kupambana na vyeti feki!
 
Hii ngoma ngumu maana secta ya elimu hata wakifuatwa lazima wawaze watanzia wapi maana shul ya msingi details zipo watu wanazo, ukija sekondari watu wanazo haya ukienda vyuo alivyopita watu details wanazo

Sasa unaanza msafishia wapi mtu huyu, maana ukija na vyeti tofauti watu watakuja na vyeti ambavyo aliombea nafasi za masomo nk, wizara itajibu nini
 
I very much believe kiongozi mwenye nafasi kubwa ya kazi za Mungu kama Askofu Gwajjima hasemi uongo, kuna ukweli ndani na kwa sababu mkuu alijiunga na (University)chuo kwa vyeti feki hata shahada sasa hana, yaani chuo kinaiondoa kisheria -- withdraw and recover the earlier award degree certificate!
Unamsemea Gwajima huyu aliyezaa na mke wa mtu au[emoji23][emoji23] kumbe anafanya kazi ya Mungu?
 
Back
Top Bottom