Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi. Kanisa halina sifa, na halipaswi kunyoosha kidole

Muuaji aombewe amekata tamaa, kwa Mungu hakuna msamaha kwa wauaji amri za Mungu zinasema USIUE, jisomee mwenyewe maandishi yako..
in fact,
kama taifa la Mungu,
tutakuombea hata wewe ili hatimae kuondokana na tabia ya kushadadia porojo na upotoshaji wa kutafuta kiki useless jukwaani, ili hatimae uwe miongoni mwa waTanzania wema na waliojitenga na uongo 🐒
 
Mimi sheikh Saidi Mwaipopo huwa tunamuombea mara tano kwa siku nikishirikiana na Lucy Mikael,Yona wa chalinze,Mchome na Mzee Mwandambo
 
DAUDI ALBERT BASHITE kwenye ubora wake. Ongea yake tu ni mtihani.
 

Kanisa halina SIFA anamaanisha nini .... au kwa vile lilishafika BEI ...!!?

Hawa KKKT wasipoacha kutoa mic kwa WAHUNI basi wategemee lolote lile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…