Hili kanisa nalo linajipendekeza!Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
HILO KANISA ALIMOTOLEA HIYO HOTUBA LISIPOKUJA NA KAULI YA KUMKEMEA VIKALI LITAKUWA LA OVYO SANAWaziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Yaani anataka walitheri wamwombee mwislam ambaye hajakiri kwamba yesu ni Mwokozi wake. Hayo maombi Mungu atayapokea kweli.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Kauli kwamba Serikali haina dini , mipaka yake ni ipi?Asipoombewa ni kitu gani kitatokea?
Swala la maombi si ni la binafsi?
Waombaji watafahamu vipi mahitaji yake huyo anaetakiwa kuombewa ?
Kwani kwa imani yako ukimuombea mtu wa imani nyingine , utofauti wa imani zenu unaweza kuwa kikwazo kwa maombi yako kufanya kazi?Yaani anataka walitheri wamwombee mwislam ambaye hajakiri kwamba yesu ni Mwokozi wake. Hayo maombi Mungu atayapokea kweli.
Sawa kwa hiyo waache kumkosoa kwamba hapa umeenda isivyo bali wakemee pepo linalomtuma kufanya isivyo? Je siku wakikemea na kumuita Mungu wa Elia ashushe israeli amuangamize huyo mtu mtakubali?Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Sijui ni msemaji wa mbinguni au nivipi
View: https://youtube.com/shorts/QLLA5J8Vi3c?si=18wuAe8g4ig0-szl
Hahahaaana MIMATAKO yake mikubwa ***** lile akili zake ndipo zilipo