mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
I left this church not GodHii inaitwa kupatwa kwa kkkt, leo wanafundishwa jinsi ya kufanya kazi zao, aibu aibu aibu, hili kanisa lijitafakari

Makanisa ni mali ya CCM?Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Wanaotakiwa kutoa neno wanapewa neno, wanaopaswa kufundisha wanafundishwa, wanaopaswa kuelekeza wanaelekezwa, wanaopaswa kukemea wanakemewa. Hawa ndio viongozi wa dini wa leo wanakubali kukemewa na waziri halafu mko bize mnasema tuwapelekee sadaka kwamba fedha na zahabu zote ni mali ya Bwana! Wao wanaifanya kazi ya Bwana kweli??Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.
Akizungumza na viongozi wa Dini katika Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati, mbele ya waumini kanisani, Makonda amesisitiza kuwa kanisa halina sifa ya kunyoosha kidole au kushindana kauli na matamko mtandaoni, bali lina kanuni na misingi yake ya kiroho ya kutatua changamoto kupitia maombi na magoti.
Makonda amebainisha kuwa vita vya kiroho haviwezi kupigwa kwa kutumia njia za kimwili au za mtaani, hivyo ni wajibu wa kanisa kuendelea kusimama katika maombi ili kuleta majibu na amani katika nchi.
Je maombi aanahitajika kwa winging ama kwa uchache kama ni kwa winging mbona mengi yalipunguzwa Oct. 29?Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, amewataka viongozi na waumini wa kanisa kuacha tabia ya kulaumu na kunyooshea viongozi kidole, badala yake wazidishe maombi kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan na taifa kwa ujumla.